MABASI YATOAYO HUDUMA YA USAFIRISHAJI ABIRIA MIKOANI YARUHUSIWA KUSAFIRI MASAA 24
Na Magrethy Katengu
Mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji abiria kwenda Mikoani yameruhusiwa kusafiri masaa 24 kutokana na hali ya Ulinzi na usalama kuboreshwa barabarani kote...
LATRA YAFUNGIA RATIBA YA MABASI YA NEW FORCE KUSAFIRI USIKU
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefuta ratiba ya awali ya alfajiri ya mabasi 38 ya kampuni ya New Force Enteprises ambapo...
WAZIRI MKUU: MAFUTA YA KANDA YA KASKAZINI, ZIWA YACHUKULIWE TANGA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Nishati iratibu ununuzi wa mafuta kutoka mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa ili yachukuliwe kutokea Tanga...
SHULE ZA SEKONDARI 19 KUJENGA MAABARA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
SHULE 19 za sekondari za Kata katika jimbo la Musoma vijijini zinaendelea na ujenzi wa maabara kwaajili ya ugundishaji wa masomo ya...
WANAFUNZI BARA, VISIWANI WASHIRIKI KONGAMANO LA SAYANSI TANGA STEM PARK
Na Boniface Gideon, TANGA
ZAIDI ya wanafunzi 60 wa shule Sekondari kutoka katika Mikoa mbalimbali ya Tanzania wameshiriki kikamilifu Kongamano la saba la sayansi na...
ONE MAP AFRICA WAOMBA USHIRIKIANO KWA SERIKALI , KUWEZESHA FURSA ZA AJIRA NA UWEKEZAJI...
https://www.youtube.com/embed/MLBvjb9M17A
Mwanzilishi wa Kampuni ya ONE MAP AFRICA Bwn. Joseph John Ng'wandu ( katikati ) katika picha ya pamoja na Mchekeshaji Maarufu Nchini JK COMEDIAN...
SANYA AISHUKURU JUMUIYA YA WAZAZI MARA KUMKUMBUKA, ATOA USHAURI
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Christopher Sanya ameishukuru jumuiya ya wazazi mkoa wa Mara kumualika kwenye...
ELIMU YA UKATILI WA KIJINSIA YAWAFIKIA VIONGOZI JUMUIYA YA WAZAZI MARA
Na Shomari Binda-Musoma
SHIRIKA la Hope For Girls and Women lenye makao makuu yake mjini Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara limetoa elimu ya ukatili wa...











