Friday, June 26, 2026
Home 2023 July

Monthly Archives: July 2023

TUMIENI MAONESHO YA SABASABA KUFUNGUA FURSA KIMATAIFA – MAJALIWA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wafanyabishara nchini kutumia maonesho ya kibiashara ya kimataifa ya sabasaba sambamba na fursa za makampuni ya kigeni...

DIWANI MWANDARA AZUNGUMZIA MIAKA 2 YA MAFANIKIO KATA YA BWERI

0
Na Shomari Binda-Musoma DIWANI wa Kata ya Bweri, Dickson Mwandara, amesema yapo mafanikio makubwa ya miradi ya maendeleo iliyofanyika Kata ya Bweri kwenye kipindi cha...

GGML KUTUMIA SHILINGI BILIONI 6 UJENZI UWANJA WA MPIRA GEITA

0
-Kukamilika kwake kuhamasisha shughuli za Michezo -Timu mbalimbali zikiwemo Simba, Yanga, Azam FC, na nyingine kuutumia uwanja huo Imeezwa kuwa, Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa...

TIGO YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTEKELEZA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO CHINI YA UMRI...

0
Na Adery Masta Tangu kuzinduliwa kwa mpango wa usajili wa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano ukiwa ni mkakati muhimu ulioanzishwa na Serikali...

Infinix NOTE 30 YASHUSHWA BEI MSIMU HUU WA SABASABA ( + VIDEO )

0
https://www.youtube.com/embed/o1K_kwpIp9Q INAKUJA NA OFA: "Simu hii aina ya Infinix NOTE 30 inakuja na Ofa ya GB 96 bureee kutoka TIGO za kutumia mwaka mzima, ikiwa...

SERIKALI IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA KUKAMILISHA SERA YA TEHAMA

0
Naibu katibu mkuu wa wizara ya habari mawasiliano na tekmolojia ya Habari selestine Kakele amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mapitio...

KADA CCM ATOA USHAURi KWA WENYEVITI WA MITAA NCHINI

0
Na Shomari Binda-Musoma WENYEVITI wa mitaa nchini wameshauriwa kutumia mikutano yao kutoa elimu ya ufahamu juu ya Katiba ya nchi. Ushauri huo umetolewa na kada wa...

CCM MWANZA yataka viongozi wasimamie Miradi kwa ukaribu

0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mwanza kimewataka viongozi wake kuweka juhudi katika kutatua matatizo ya wananchi katika maeneo yao kama inavyosisitizwa na Ilani yake...

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA MJI WA SERIKALI

0
*Aagiza ifikapo Oktoba mwaka huu uwe umekamilika WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kuwa ifikapo Oktoba mwaka huu, mradi wa majengo ya wizara mbalimbali unaoendelea katika...

KATIBU MKUU NISHATI ASISITIZA GST KUFANYA UTAFITI ZAIDI

0
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesisitiza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kuendelea kufanya tafiti zaidi ikiwemo kuongeza...