MAJALIWA: THAMANI YA MIKOPO TADB IMEFIKIA BILIONI 317
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema thamani ya mikopo inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeongezeka kutoka shilingi milioni 776 mwaka 2015...
APRM; SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAJITAHIDI KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Na Magrethy Katengu
Katibu Mtendaji APRM Tanzania Mpango wa hiari wa nchi za umoja wa Afrika kujipima kwa vigezo vya Utawala bora Lamau Mpolo amesema...
DKT. MPANGO AMETOA WITO KWA WAJAWAZITO KWA KUSINDIKIZWA NA WENZI WAO KUHAKIKISHA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wajawazito kwa kusindikizwa na wenzi wao kuhakikisha wanahudhuria...
KISWAHILI FURSA YA KIUCHUMI-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuzungumza na kusoma lugha ya Kiswahili kwa kuwa lugha hiyo ni fursa ya kiuchumi Duniani.
“Kuwa mzawa...
SENYAMULE ATOA MSUKUMO AGENDA YA MAZINGIRA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amewataka Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Makatibu Tawala Wasaidizi wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kushirikiana...
BI.MASHAVU AMEWASIHI WATAKWIMU WA SKULI ZA MSINGI NA WALIMU KUJIFUNZA KWA BIDII.
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.
MKURUGENZI Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima Zanzibar, Bi.Mashavu Ahmada Fakih, amewasihi watakwimu wa skuli za msingi na walimu nchini kujifunza ...
JINSI YA KUPATA SIMU ZA MKOPO KUTOKA TIGO NA SAMSUNG , A04 na A04s
Na Adery Masta.
Tigo na Samsung wanakukaribisha kwenye banda lao katika Viwanja vya saba saba ili ujipatie huduma na zawadi kibao ikiwemo SIMU ZA MKOPO...
WIKI MBILI TU : WASHINDI WA MAMILIONI KAMPENI YA TIGO CHA WOTE WAFIKIA 4494...
https://www.youtube.com/embed/i29t4nNChpk
Na Mwandishi Wetu.
Ikiwa ni Takribani wiki mbili sasa tangu kampuni ya Mawasiliano ya Tigo izindue Kampeni yake ya CHA WOTE yenye lengo la kuwasaidia...
PURA YACHIMBA VISIMA 96 KATI YA HIVYO 44 VYAPATIKANA NA GESI
Na Magrethy Katengu
MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) umesema katika tafiti zao hadi sasa wamegundua futi za ujazo Trilioni 57.54 za...
SEKTA YA MADINI IMECHANGIA ASILIMIA 56 MAUZO YA BIDHAA NJE YA NCHI
Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, amesema kuwa mchango wa Sekta ya Madini katika kuliingizia Taifa fedha za kigeni umekuwa...













