SERIKALI YATOA SH. BILIONI 208 KUJENGA SEKONDARI MPYA NCHINI
Serikali imetoa zaidi ya sh. bilioni 208 ili zitumike kujenga shule mpya za sekondari kwenye Halmashauri zote hapa nchini ikiwa ni maandalizi ya kupokea...
UJENZI KITUO CHA AFYA KISIWA CHA RUKUBA MUSOMA VIJIJINI WAKAMILIKA
Na Shomari Binda-Musoma
UJENZI wa kituo cha afya katika kisiwa cha Rukuba kilichopo Kata ya Rukuba umekamilika na kutarajiwa kuanza kutoa huduma hivi karibuni.
Kwa sasa...
EPZA YAONESHA FURSA KATIKA SEKTA YA KILIMO KWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje EPZA imekuwa Mstari wa mbele kuwaonesha fursa Wakulima kwa kuongeza mazao yao...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE INDIA AFANYA ZIARA DIT , AWAPONGEZA KWA TEKNOLOJIA (...
WAWEZA KUTAZAMA VIDEO PIA
https://www.youtube.com/embed/qAeVGXcb85k
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imepongezwa kwa kuwa miongoni mwa Taasisi za Elimu Tanzania yenye ushirikiano mwema na nchi...
VIKWAZO VYA UWEKEZAJI VIMEONDOLEWA KARIBUNI BANDA LA SABASABA EPZA MJIONEE FURSA
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Maeneo ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje EPZA imesema serikali serikali iliyo chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani imeondoa...
WAZIRI MKUU ANENA: UWEKEZAJI UNA FAIDA
*Atembelea bandari ya Mtwara, aagiza wanunuzi wa mikoa ya Kusini wachukue mafuta kutoka Mtwara
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uwekezaji una faida na kwamba suala...
UJENZI WA GATI MPYA BANDARI YA MTWARA UMEGHARIMU TSH. BILIONI 157.8
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli...
SERIKALI INATAKA WANANCHI WAPATE HUDUMA HUKO WALIKO – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inataka kuona wananchi wakipatiwa huduma za afya huko waliko bila kulazimika kuzifuata mbali.
“Tumejenga vituo...
SEKTA YA MADINI SEHEMU SAHIHI YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
-Dkt. Kiruswa awataka Watanzania kutembelea banda la Wizara ya Madini
Dar es Salaam
Sekta ya Madini imekuwa ni sehemu sahihi ya biashara na uwekezaji kutokana na...
KATIBU MKUU DKT. HASHIL APONGEZA UTENDAJI WA BRELA SABASABA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdalah amepongeza utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), katika...












