Friday, June 26, 2026
Home 2023 July

Monthly Archives: July 2023

T-PESA APP YAZINDULIWA

0
Na Magrethy Katengu KAMPUNI ya Simu ya TTCL imezindua huduma ya T-PESA APP ambayo itawarahisishia wateja wa mtandao huo kupata huduma mbalimbali za malipo kwa...

WAZIRI MKUU AMTAKA DMO MTWARA ASIMAMIE UJENZI KITUO CHA AFYA MKUNWA

0
*Akerwa kukuta vifaa vimejaa ndani, hakuna uangalizi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dkt. Matayo Malaika ahakikishe anasimamia ujenzi wa...

VIONGOZI, WANACHAMA CCM WAMLlLIA DIWANI WA KATA YA MSHIKAMANO CHARLES MWITA

0
Na Shomari Binda-Musoma VIONGOZI na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha diwani wa Kata ya Mshikamano manispaa ya Musoma,...

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE ARIDHISHWA NA MRADI WA MAJI ULIOTEKELEZWA NA MUWASA

0
NA Shomari Binda-Musoma KIONGOZI wa mbio za mwenge,Abdara Shaibu ameridhishwa na mradi wa maji uliotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma...

BALOZI WA ALGERIA ATEMBELEA BANDA LA BRELA

0
Balozi wa Algeria nchini Tanzania Mhe. Ahmed Djellal ametembelea Banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), leo tarehe 8 Julai, 2023...

SERIKALI YA ZANZIBARI KUINUA WANANCHI WAKE KUPITIA UCHUMI WA BLUU

0
.Na Magrethy Katengu Serikali ya Zanzibari iliyo chini ya Rais Ally Hassan Mwinyi imekuwa ikiongeza jitihada za kusaidia uchumi wa bluu wa Bahari usaidie wananchi...

MGORE AKABIDHI MIAMVULI YA KIVULI KWA WAJASILIAMALI MUSOMA

0
Na Shomari Binda- Musoma MJUMBE wa Baraza Kuu na Kamati ya Utekeleza wa Jumuiya ya Wazazi ya ( CCM) Taifa, Mgore Miraji ametoa msaada wa...

WAZIRI JAFO AIPONGEZA KADERES KWA KUANZISHA KILIMO CHA MITI YA HEWA UKAA KAGERA

0
Na Theophilida Felician Kagera. Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Saidi Jafo ameipongeza kampuni ya Kaderes pamoja na Rabo...

JIUNGENI NA VETA MPATE UJUZI WA KUZALISHA BIDHAA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZINAZOUZIKA NDANI NA...

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imewashauri wananchi wote kupenda bidhaa zinazozalishwa Tanzania kwani zimeboreshwa kwa kutumia Teknolojia ya...

TUNAPASWA KUTUMIA VYEMA SOKO LA INDIA-WAZIRI OMAR

0
Na Beatrice Sanga-MAELEZO Serikali imesema kuwa itahakikisha inaongeza ufanyaji biashara na nchi ya India pamoja na bara la Asia kwa ujumla katika kilimo, teknolojia viwanda...