TANTRADE NA UBALOZI WA IRAN YAENDELEA KUIMARISHA MAHUSIANO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa M. Khamis amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Hussein Alvandi Behineh, Balozi wa Iran nchini...
MGAHAWA WA VYAKULA ASILI VYA BAHARINI WAZINDULIWA TANGA.
Na Boniface Gideon, TANGA
MGAHAWA wa ARBAB TANGA SEA FOOD & MORE ambao unakuwa mgahawa wa kwanza unaotoa huduma za vyakula vya asili vinavyotokana na...
Dkt. Ashatu Kijaji aitaka TIC kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa...
Wachimbaji Madini kujifunza Teknolojia mpya China
Na Beatrice Sanga -MAELEZO
JUMLA ya Wachimbaji, wafanyabiashara na wadau wa madini nchini 260 wanatarajia kwenda nchini China Julai mwaka huu kwa ajili ya kujifunza...







