MABEHEWA 6 YA GOROFA YA TRENI YA UMEME (SGR ) YAWASILI LEO
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia shirika la Reli Tanzania imesema reli ya Treni ya Umeme (SGR) ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 98 na baadhi ya...
Wawekezaji wazawa wakoshwa na Mazingira rafiki ya Biashara nchini
Na Neema Kandoro, Mwanza
BAADHI ya wawekezaji wazawa Jijini Mwanza wamepongeza serikali ya awamu ya sita kwa kuweka mazingira rafiki ambayo yamewafanya kumudu kuanzisha miradi...
ELIMU YA UNYANYAPAA NA UBAGUZI KWA WALIOATHIRIWA NA MARBURG YATOLEWA KWA WAANDISHI WA HABARI
Na Theophilida Felician Kagera.
Shirika la KAMEA linalojihusisha na masuala ya huduma ya vyombo vya habari limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari juu ya dhana...
TAKUKURU MARA YATAKA VIFAA VISIVYO NA UBORA KUTOTUMIKA KWENYE MIRADI
Na Shomari Binda-Musoma
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara limesimama kidete kuhakikisha vifaa visivyokuwa kuwa na ubora kutumika kwenye miradi...
JESHI LA POLISI MKOA WA MARA LAWATAKA WAHALIFU KUTAFUTA KAZI ZA KUFANYA
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la polisi mkoa wa Mara limewataka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu watafute kazi halali za kufanya kwa kuwa wataishia...
RC MTANDA ATAKA UKATILI DHIDI YA WAZEE UDHIBITIWE
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara,Said Muhamed Mtanda, amesema wazee wanapaswa kupewa huduma stahiki na kudhibiti masuala ya ukatili dhidi yao.
Kauli hiyo ameitoa...









