Friday, June 26, 2026
Home 2023 June 13

Daily Archives: June 13, 2023

WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WATENDAJI WA TAASISI ZA WIZARA YA MADINI

0
MIKAKATI YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA BIASHARA YA MADINI YAANISHWA Leo Juni 12, 2023 Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko jijini Dodoma, amekutana na Wakuu...

TAASISI YA TMFD YAINGIA MAKUBALIANO NA FUO KUENDELEZA SEKTA YA UVUVI NCHINI

0
Na. Mwandishi wetu, Mwanza. Taasisi ya Waandishi wa Habari wa kuendeleza shughuli za bahari na uvuvi Tanzania (TMFD) leo Juni 12, 2023 imeingia kwenye makubaliano...

TUTAENDELEA KUDUMISHA UHUSIANO WETU NA NAMIBIA – WAZIRI UMMY MWALIMU

0
Na. WAF - Dodoma Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Serikali ya Namibia itaendelea kushirikiana kwa pamoja hasa katika sekta ya afya kwa...

USANIFU KITUO CHA HUDUMA ZA PAMOJA MPAKA WA MANYOVU WAKAMILIKA

0
Na. Peter Haule, WFM, Dodoma Serikali imeeleza kuwa imekamilisha usanifu wa Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Boarder Post- OSBP) Manyovu kilichopo mkoani...

SHIRIKIANENI KUKAMILISHA MIRADI YA MAJI KWA WAKATI – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameielekeza Wizara ya Maji iendelee kushirikiana na wadau wa sekta ya maji kukamilisha miradi yote inayoendelea kutekelezwa kwa ufanisi na...

UCHUNGUZI WA KIIKOLOJIA KUHUSU UGONJWA WA VIRUSI VYA MARBURG WAANZA KAGERA

0
Na Theophilida Felician, Kagera Wataalamu kutoka Wizara za kisekta chini ya Uratibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu wameanza uchunguzi wa Kiikolojia kuhusu ugonjwa wa Virusi...

VIJANA WA MARUKU WAKITEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA NTOMA

0
Na Theophilida Felician Kagera. Baadhi ya vijana kutoka Kijiji cha Maruku kata Maruku Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera wamejiunga pamoja na kukitembelea kituo cha kulelea...