Friday, June 26, 2026
Home 2023 June 15

Daily Archives: June 15, 2023

WAZIRI UMMY AAGIZA HOSPITALI ZA TAIFA ZISIAJIRI WATU KUTOKA MOJA KWA MOJA VYUONI

0
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali za Taifa (Muhimbili, MOI, JKCI na Mloganzira) wasiajiri Madaktari mojo kwa moja kutoka vyuoni bali wawachukue...

BILIONI 5 ZIMETENGWA KWAAJILI YA KUGHARAMIA HUDUMA ZA UPASUAJI NA MATIBABU YA UBINGWA BOBEZI

0
Na. WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 5 kwaajili ya kugharamia huduma za upasuaji na matibabu ya ubingwa...

BMH YAPANDIKIZA UUME KWA MARA YA KWANZA NCHINI

0
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)kwa kushirikiana na chama cha madaktari bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkojo nchini (TAUS) pamoja na dkt. Bingwa kutoka...

Wafugaji samaki kwa vizimba Kanda ya ziwa kunufaika na mikopo ya bilioni 60

0
Na Neema Kandoro Mwanza MAKUNDI ya ufugaji samaki kwa vizimba katika kanda ya ziwa yataanza kunufaika na mkopo usio na riba wa Sh bilioni 60...

MUHONGO AKAGUA KUANZA MRADI WA MAJI MUGANGO-TEGERUKA

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof. Sospeter Muhongo amesema wananchi wa vijiji vya Kata za Mugango na Tegeruka wanayo matumaini makubwa...