TBS KANDA YA ZIWA YAKASIMISHA MAJUKUMU YAKE KATIKA HALMASHAURI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS ) Juni 9 limesaini mkataba wa ushirikiano baina yake na Tamisemi kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Mwanza...
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI: HAKUNA BANDARI ILIYOUZWA MIAKA 100
Na Magrethy Katengu
Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema amekanusha upotoshaji Mkubwa unaondelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari imeuzwa kwa kampuni ya DP...





