Friday, June 26, 2026
Home 2023 June 19

Daily Archives: June 19, 2023

DECEA YAKAMATA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROIN KILOGRAMU 200.5

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA) imefanikiwa katika Operesheni hiyo DCEA imefanikiwa kukamata dawa za kulevya aina ya...

LINDI IMEFUNGUKA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI YA KINYWE MBIONI KUANZA

0
Wananchi watakiwa kutoa ushirikiano kwa Mwekezaji Jimbo la Mtama Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Kijiji cha Namangale katika Halmashauri ya Mji...

PROF. MUHONGO: UMEME WA UHAKIKA UTAHARAKISHA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA

0
Na Shomari Binda-Dodoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof. Sospeter Muhongo amesema kupatikana kwa umeme wa uhakika kutachochea kwa kasi ukuaji wa uchumi. Huo ulikuwa...

MBUNGE MATHAYO AMKARIBISHA MWANDISHI WA MZAWA BUNGENI

0
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo, amemualika Mwandishi wa Mzawa Blogger,Shomari Binda, kushuhudia shughuli za Bunge. Mara baada ya kipindi cha maswali na majibu,Spika...

KONGAMANO LA METROLOJIA SEKTA YA AFYA AFRIKA MASHARIKI LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

0
 Na Mwandishi Wetu SERIKALI kuendelea kufanya uwekezaji katika uboreshaji wa Vipimo hususani katika sekta ya afya kwa kuhakikisha kuwa vipimo vinakidhi ubora wa kimataifa na...

TBS WATOA ELIMU YA UMUHIMU WA VIWANGO KWA WAJASIRIAMALI , MAADHIMISHO YA WIKI YA...

0
https://www.youtube.com/embed/fRYxsqHFlm4 Afisa Masoko TBS Bi. Rhoda Mayugu ( kulia ) akiwaelezea baadhi ya wajasiriamali ( katika nyakati tofauti tofauti ) umuhimu wa Viwango na namna ambavyo...

FILAMU YA KISAYANSI YA EONII ONESHO LA KWANZA JUNI 23 MWAKA HUU

0
Na Magrethy Katengu AZAM Media Ltd (AML) na Studio za PowerBrush (PBS) wanatarajia kuonesha rasmiFilamu ya Kisayansi ya EONII Juni 23, 2023 katika Ukumbi wa...