MAGUNIA 931 YA BANGI YAKAMATWA, HEKARI 953 ZATEKETEZWA, 16 MBARONI ARUSHA
Tazama Video Operesheni Tokomeza Bangi Arusha ambapo Magunia 931 yamekamatwa, Hekari 953 zimeteketezwa na watuhumiwa 16 wamekamatwa
Na Mwandishi wetu - Arusha
Kufuatilia operesheni maalumu ya...
BRELA YAWANOA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI
Na Magrethy Katengu
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEFF Deodatus Balile amesema Vyombo vya habari ni nyenzo muhimu kusaidia wananchi kupata taarifa sahihi hivyo...
Magu waweka mikakati kuondosha alama sufuri mashuleni
Na Neema Kandoro,Magu
WADAU wa sekta ya elimu wilayani Magu Mkoani Mwanza wamevutiwa na juhudi za walimu kwenye shule za sekondari kwa kuweka mikakati ya...
MAHIMBALI ATOA WITO KWA WACHIMBAJI WADOGO KUITUMIA WIZARA
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amewataka Wachimbaji Wadogo kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kushirikiana na Wizara...
SIKU 100 ZA KATIBU MKUU MADINI MADARAKANI
Aeleza Mipango Kabambe Kuifungua Sekta ya Madini
Aweka Kicheko kwa Watumishi, Wadau
Waziri Biteko Ataka Sekta ya Madini kuchangia Zaidi Fedha za Kigeni
Dodoma
Zikiwa zimetimia Siku 100...
JMAT NA NEMC KUKUTANA NA VIONGOZI WA DINI KUELIMISHANA KIWANGO CHA SAUTI KATIKA NYUMBA...
Na Magrethy Katengu
Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la hifadhi ya Mazingira (NEMC )wameandaa kongamano la kitaifa...
RC CHALAMILA ATOA NENO KWA VIONGOZI WA DINI KUKEMEA MMOMONYOKO WA MAADILI
Na Magrethy Katengu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamala amewataka viongozi wa Dini kusaidia kukemea tatizo la Mmomonyoko wa maadali ikiwemo ubakaji,...










