Friday, June 26, 2026
Home 2023 June

Monthly Archives: June 2023

EAC yakubaliana kuendelea kuondoa Vikwazo vya Biashara Visivyokuwa vya Kiforodha (NTBs) 

0
https://youtu.be/-poGmKnSgjI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs), huku vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na...

DKT. BITEKO ASISITIZA WADAU KUSHIRIKI KONGAMANO LA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI 2023

0
Dkt. Biteko: Australia inafaa kuigwa katika uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa wadau wote wa madini wa...

MAHIMBALI ATOA WITO KWA WACHIMBAJI WADOGO KUITUMIA WIZARA

0
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amewataka Wachimbaji Wadogo kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kushirikiana na Wizara...

TAWA YATOA ONYO KALI KWA MAJANGIRI HUKU UJANGIRI UKIZIDI KUSHUKA NCHINI.

0
Na Boniface Gideon, TANGA. MAMLAKA ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania 'TAWA' imewaonya Watu wote wanaojihusisha na vitendo vya ujangiri wa wanyama pori katika hifadhi...

MATHAYO AKABIDHI VIFARANGA KWA VIJANA MIRADI UFUGAJI WA KUKU

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo amekabidhi awamu ya pili ya vifaranga vya kuku,chakula na pesa ya dawa kwa vijana kwaajili...

LASF WATUMIA JUKWAA LA SANAA KUTOA ELIMU JUU YA UGONJWA WA LUPUS KWA JAMII

0
TAASISI ya Lupus Awareness and Support (LASF), kwa kushirikiana na wadau wa muziki Micshariki  wazindua wimbo ya "Shujaa 2" kama sehemu ya kuendeleza jitihada...

Bodi ya Pamba kuendelea kutoa Elimu ya kuongeza uzalishaji

0
BODI ya Pamba nchini itaendelea kuweka jitihada za kumwezesha mkulima kupata kiasi kikubwa cha mavuno kwenye zao la pamba kuondokana na changamoto zinazowakumba wakulima...

TANZANIA NI SALAMA, KAGERA NI SALAMA HAKUNA TENA UGONJWA WA MARBURG

0
Na WAF- Bukoba Kagera. Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu ameutarifu umma wa Watanzania na Ulimwengu kwa ujumla kuwa Tanzania imeweza kupambana na kudhibiti ugonjwa...

Tanzania Yavuka lengo la Mkakati wa Kitaifa wa Kuhifadhi Faru

0
Na Jacquiline Mrisho Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa idadi ya faru weusi imeendelea kuongezeka kutoka 163 mwaka 2019 hadi 238...

WADAU WA MAONYESHO YA BIASHARA SABASABA 47 WAJIPANGA KIPEKEE; KARIBU USISUBIRIE KUSIMULIWA

0
Na Magrethy Katengu Wadau wa Maonyesho ya biashara wamesema mwaka huu katika sabasaba itakiwa ya kipekee hivyo kutakuwa na fursa nyingi Tan trade wameandaa mabanda...