WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAMPONGEZA MBUNGE AGNESS MARWA KUTETEA WANANCHI
Na. Shomari Binda
WIZARA ya Maliasili na Utalii imempongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara, Agness Marwakwa kutetea na kufatilia maslahi ya wananchi wa...
WATANZANIA NAO WASHIRIKISHWE KWENYE MIRADI YA KIMKAKATI
Na Magrethy Katengu
Watanzania wanakabiliwa na changamoto ikiwemo ya Ukosefu wa ujuzi, kukosekana kwa sera ya kitaifa, ushirikikishwaji hafifu wa jamii, miundombinu duni, ukosefu wa...
WASOMI NA WANAZUONI WATAOA DIRA KWA JESHI LA POLISI KATIKA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA NA...
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Dar es salaam
Wasomi na wanazuoni wameliomba Jeshi la Polisi kuendana na mabadiliko ya duniani ya sasa ambayo imejikita...
MASHINDANO YA SHIGONGO CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI JULAI JIMBONI BUCHOSA
Yale mashindano pendwa ya soka Kwa wananchi wa Jimbo la Buchosa chini ya uongozi wa Mbunge Eric Shigongo tayari mipira 25 yenye thamani shilingi...
MAANDALIZI MAONYESHO SABASABA YA 47 YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 98
Na Magrethy Katengu
Maandalizi ya Maonesho ya Sabasaba yanayotarajiwa kuanza Juni 28 mwaka huu yamekamilika kwa asilimia 98 hivyo Wananchi na Wadau wanakaribishwa kushiriki kwani...
CCM Mwanza yasema imejipanga ushindi wa kishindo Mwakani
CHAMA cha Mapinduzi mkoani Mwanza kimesema kimejipanga vizuri kuibuka kidedea katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 kutokana na mafanikio ambayo yameonekana katika...
TBS WAJA NA MIKAKATI YA KUWAHUDUMIA WAJASIRIAMALI WADOGO MSIMU WA SABASABA ( + VIDEO...
https://www.youtube.com/embed/2_REAOSFguI
Meneja Uhusiano na Masoko Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ) Bi. Gladness Kaseka akizungumzia Namna ambavyo Shirika hilo limejipanga kuhakikisha linawafikia wateja wote...
MBUNGE MATHAYO AIOMBA SERIKALI KUPELEKA FEDHA KWENYE MASOKO MUSOMA
Na Shomari Binda
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo, kuona utarstibu wa kufikisha fedha kwenye masoko ili kuwawezesha wajasiliamali na wananchi kiuchumi.
Kauli hiyo...
TBS YAWATAKA WANAOAGIZA MAGARI YALIYOTUMIKA KUHAKIKISHA YANAKAGULIWA NA KUPEWA CHETI ( CERTIFICATE OF ROADWORTHNESS...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ) Dkt. Yusuph Ngenya (kushoto) baada ya kusaini mkataba na Bw. Brian Kuria ( kulia...
OJADACT yaipongeza Serikali kwa kuthibiti na kupambana na dawa za kulevya
Chama cha Waandishi wa Habari wa Kuliga Vita Matukizi ya Dawa za kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT) kimeipongeza Serikali kwa kuimarusha Mamlaka ya Kuthibiti...













