Friday, June 26, 2026
Home 2023 June

Monthly Archives: June 2023

MAONESHO YA BIASHARA TANGA WOMEN GALA MSIMU WA 6 YAMEZINDULIWA RASMI

0
Na Boniface Gideon, TANGA Msimu mpya wa Maonesho ya Biashara yanayohusisha Wajasiriamali wanawake mkoani Tanga maarufu TANGA WOMEN GALA yamezinduliwa Rasmi Jana Juni 24 na...

Dkt. Abdallah: Serikali itaendelea kuwaenzi kuwalinda na kuwatunza Wawekezaji nchini.

0
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...

KITABU CHA IGP MSTAAFU SAIDI MWEMA CHAZINDULIWA DAR ES SALAAM NA KUSAMBAZWA BUREE KUANZIA...

0
Na Magrethy Katengu Jeshi la Polisi limetakiwa kwenda kidigitali kwani Dunia sasa ipo kiganjani ili kusaidia kudhibiti uhalifu kwani uhalifu umekuwa ukitendeka katika mitando ikiweno...

TANTRADE NA UBALOZI WA IRAN YAENDELEA KUIMARISHA MAHUSIANO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

0
Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa M. Khamis amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Hussein Alvandi Behineh, Balozi wa Iran nchini...

MGAHAWA WA VYAKULA ASILI VYA BAHARINI WAZINDULIWA TANGA.

0
Na Boniface Gideon, TANGA MGAHAWA wa ARBAB TANGA SEA FOOD & MORE ambao unakuwa mgahawa wa kwanza unaotoa huduma za vyakula vya asili vinavyotokana na...

Dkt. Ashatu Kijaji aitaka TIC kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa...

Wachimbaji Madini kujifunza Teknolojia mpya China

0
Na Beatrice Sanga -MAELEZO JUMLA ya Wachimbaji, wafanyabiashara na wadau wa madini nchini 260 wanatarajia kwenda nchini China Julai mwaka huu kwa ajili ya kujifunza...

DIT KUZALISHA WATAALAM WENGI KUPITIA UJENZI WA KITUO CHA UMAHIRI WA TEHAMA , PROF....

0
Na Mwandishi Wetu. https://www.youtube.com/embed/MXWC9FnM6PM Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inatarajia kutoa wataalam wa kutosha katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), ngozi...

DIT WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU HUSUSAN MATUMIZI YA VISHIKWAMBI ( + VIDEO...

0
https://www.youtube.com/embed/D9rtJe5j4EE TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeanza kutoa mafunzo kwa walimu waliopatiwa vishkwambi baada ya kubaini baadhi yao wakiwaachia watoto wachezee badala ya...

NEF, STEM PARK ZATOA TUZO WALIMU WAKIKE WALIOFANYA VIZURI UFUNDISHAJI SAYANSI TANGA JIJI

0
Na Boniface Gideon, TANGA Shirika la Next Einstein Forum (NEF) kwa kushirikiana na kituo cha Sayansi Tanga cha Stem Park pamoja na Halmashauri ya jiji...