TANZANIA NA ITALIA ZATILIANA SAINI YA MSAADA KUWEZESHA USAJILI WA WATOTO
Tanzania na Italia, kupitia Shirika lake la Maendeleo (AICS), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Euro 410,000 (sawa na shilingi Bilioni 1) kwa ajili ya programu ya kuimarisha mfumo...
Wizara ya Habari, eGA Wawanoa Maafisa Habari Uingizaji Taarifa Tovuti Kuu ya Serikali
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kupitia Idara ya Habari - MAELEZO kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali...
ILEMBO YAJIPANGA KUENDELEZA UBINGWA WATAKAOACHIWA NA MADAKTARI BINGWA WA MAMA
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Mpanda iliyopo mkoani Katavi, Dkt. Paul Swakala amesema anatarajia baada ya watumishi wa afya wa...
KANISA LAZUNGUSHIA UZIO ZAHANATI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI
Na Shomari Binda- Musoma
KANISA la New Life Gospel Community Church (NLGCC) maarufi kama "Bonde la Baraka" lenye makao makuu mjini Musoma, limeunga mkono juhudi...
TANTRADE YAPOKEA VIZIMBA VYA MABANDA YA KISASA KWA AJILI YA MAONESHO YA 47 YA...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi. Latifa Khamis leo tarehe 22 Juni, 2023 amepokea udhamini wa Viti, Meza na...
DKT.MPANGO: MADEREVA WA M-MAMA WATAKIWA KUWAHUDUMIA AKINA MAMA WAJAWAZITO PAMOJA NA WATOTO KWA STAHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa madereva wanaoshiriki katika mfumo wa M- mama kuwahudumia...
DKT. PHILIP MPANGO AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA SHIRIKA LA MISAADA LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Misaada la...
TIGO KUTIMIZA NDOTO ZA WATANZANIA , WAJA NA KAMPENI YA ” CHA WOTE ”...
https://www.youtube.com/embed/0uacIyi2_a8
Na Mwandishi Wetu
Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha Mtanzania anaishi Maisha ya kidijitali, Tigo, leo imetangaza kuzindua kampeni mpya inayojulikana kama ChaWote ambapo wateja watajishindia zawadi...
WAZIRI MKUU AAAGIZA UCHUNGUZI ZAIDI UFANYIKE KISA CHA BINTI KUPOTEA SHULENI MBEYA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameamuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera na Kamati ya Usalama ya Mkoa huo wafanye uchunguzi zaidi na kwa...
UJUZI UNAOTOLEWA NA MADAKTARI BINGWA KWA VITUO VYA AFYA KUSAIDIA KUPUNGUZA FOLENI HOSPITALI ZA...
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ujiji kilichopo mkoani Kigoma, Dkt. Edwin Muchunguzi amesema kuwa ujuzi na mafunzo yanayoendelea kutolewa...













