MBUNGE AGNESS AMUOMBA RAIS SAMIA MADAKTARI NA WAUGUZI
Na Shomari Binda
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara,Agness Marwa,amemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, kuongeza idadi ya madaktari na wauguzi ili kuwahudumia wananchi.
Hayo ameyasema...
Wananchi walia na mgawo wa Maji
Na Neema Kandoro, Mwanza
WANANCHI katika mtaa wa Buhongwa Mashariki wameiomba Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mkoani Mwanza (MWAUWASA) kuwapunguzia mgawo wa maji...
MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA KAMATI MAALUM ALIYOIUNDA KUFUATILIA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Alhamisi, Juni 21, 2023 amepokea taarifa ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kupitia, kuchambua na kutoa mapendekezo ya...
KUBEZA NA KUDHIHAKI MAFANIKIO HAVIWEZI KUWA TIKETI YA KUFIKIA MALENGO YA KISIASA
NAIBU Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Mussa Haji Mussa,akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya kiutendaji na kisiasa yanayotekelezwa na Umoja huo kwa upande wa...
WAUMINI NCHINI WAASWA KUTUMIA IMANI YA DINI ZAO KUIMARISHA MISINGI YA TAIFA
Waumini chini wameaswa kutumia Imani ya dini zao kuimarisha misingi ya upendo na amani katika taifa ili kuwezesha wananchi katika maeneo yao kushiriki vizuri...
TANTRADE NA UBALOZI WA MISRI KUAANDA MIKUTANO YA B2B KATIKA SEKTA YA HOTEL NA...
Na Mwandishi wetu
Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. katika ofisi za TanTrade amekutana na Maafisa kutoka Ubalozi wa Misri nchini Ukiongozwa na Ndugu Mohammad Ally...
ZIFF ZANZIBAR KUMEKUCHA LILE TAMASHA LILILOSUBIRIWA MUDA JUNI 24, KILELE CHAKE JULAI MWAKA HUU
Na Magrethy Katengu
Zanzibar. Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) latarajiwa kufunguliwa Juni 24 na kilele chake kuwa Julai 2, 2023, huku likikutanisha watanzania...
CAG APATA UKAKASI MIRADI UJENZI WA MASOKO YA SAMAKI , MAENEO YA BIASHARA TANGA...
NA BONIFACE GIDEON,TANGA
MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mkoa wa Tanga amebaini uwepo wa dosari namna ya uendeshaji wa miradi ya...
MWENYEKITI CCM AWATAKA WAHIFADHI KUWATUMIA WANASIASA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII.
Na Boniface Gideon, PANGANI
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga,Rajabu Abdarahman ameelezea kuridhishwa kwake na hatua ya Wahifadhi kuhitaji kuwatumia wanasiasa hususani...
WADAU KUUNGA MKONO SERIKALI KUTOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA YA KISASA
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia Tume ya Tehama ICT imesema itaendelea kufanya kazi kubwa kuhakikisha inapeleka huduma za mawasiliano nchi nzima ili kusaidia kujenga uchumi...













