Umoja wa Makanisa waasa ushirikiano
Na Neema Kandoro Mwanza
UMOJA wa Makanisa ya Kipentekoste Jijini Mwanza umewataka waumini wa madhehebu hayo kudumisha ushirikiano baina yao Ili kuwezesha utulivu kwenye jamii...
MAJALIWA: HATUTADHARAU MAONI, USHAURI KUHUSU UWEKEZAJI BANDARI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya...
WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA WATENDAJI WA SERIKALI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa Serikali wasiwe kikwazo waendelee kutoa ushirikiano viongozi wa dini na wawekezaji wa ndani na nje ili waweze...
MPANGO: WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUACHA ALAMA NZURI KATIKA TAIFA NA DUNIA KWA UJUMLA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya kuaga mwili wa...
TBS WASAINI HATI YA MAKUBALIANO ( MoU ) NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA...
https://www.youtube.com/embed/_i7uyhmFUS0Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesaini hati za Makubaliano kuhusu Mashirikiano katika Ukaguzi na Usajili wa Majengo ya Chakula na Vipodozi na...
BENKI YA STANDERED CHARTERED KUKAMILISHA HATUA ZA FEDHA ZA MRADI WA SGR
Na. Peter Haule, WFM, Dodoma
Benki ya Standard Chartered ipo katika hatua za mwisho za utaratibu wa kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa vipande vilivyobakia...
TAN WARRIORS SPORTS ACADEMY WAENDA ITALIA KUSHIRIKI MICHUANO YA SHIRIKISHO LA MICHEZO YA VYUO...
https://www.youtube.com/embed/BXflLurTkNY
Na Mwandishi Wetu.
Tan Warriors Sports Academy inayojihusisha na kuwaendeleza Vijana katika mpira wa Miguu , Basketball , Riadha etc inayopatikana Mkoani Morogoro , Leo...
DECEA YAKAMATA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROIN KILOGRAMU 200.5
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA) imefanikiwa katika Operesheni hiyo DCEA imefanikiwa kukamata dawa za kulevya aina ya...
LINDI IMEFUNGUKA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI YA KINYWE MBIONI KUANZA
Wananchi watakiwa kutoa ushirikiano kwa Mwekezaji Jimbo la Mtama
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Kijiji cha Namangale katika Halmashauri ya Mji...
PROF. MUHONGO: UMEME WA UHAKIKA UTAHARAKISHA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA
Na Shomari Binda-Dodoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof. Sospeter Muhongo amesema kupatikana kwa umeme wa uhakika kutachochea kwa kasi ukuaji wa uchumi.
Huo ulikuwa...












