MBUNGE MATHAYO AMKARIBISHA MWANDISHI WA MZAWA BUNGENI
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo, amemualika Mwandishi wa Mzawa Blogger,Shomari Binda, kushuhudia shughuli za Bunge.
Mara baada ya kipindi cha maswali na majibu,Spika...
KONGAMANO LA METROLOJIA SEKTA YA AFYA AFRIKA MASHARIKI LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI kuendelea kufanya uwekezaji katika uboreshaji wa Vipimo hususani katika sekta ya afya kwa kuhakikisha kuwa vipimo vinakidhi ubora wa kimataifa na...
TBS WATOA ELIMU YA UMUHIMU WA VIWANGO KWA WAJASIRIAMALI , MAADHIMISHO YA WIKI YA...
https://www.youtube.com/embed/fRYxsqHFlm4
Afisa Masoko TBS Bi. Rhoda Mayugu ( kulia ) akiwaelezea baadhi ya wajasiriamali ( katika nyakati tofauti tofauti ) umuhimu wa Viwango na namna ambavyo...
FILAMU YA KISAYANSI YA EONII ONESHO LA KWANZA JUNI 23 MWAKA HUU
Na Magrethy Katengu
AZAM Media Ltd (AML) na Studio za PowerBrush (PBS) wanatarajia kuonesha rasmiFilamu ya Kisayansi ya EONII Juni 23, 2023 katika Ukumbi wa...
TANTRADE NA TANROADS WASHIRIKIANA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA UWANJA WA MAONESHO YA SABASABA DAR ES...
Na Mwandishi Wetu
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kushirikiana na Wakala wa Barabara Tanzania (TanRoads) watahakikiaha Uwanja wa Maonesho wa sabasaba unafanyiwa...
TBS YATOA LESENI NA VYETI KWA WAZALISHAJI WA BIDHAA
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt.Athuman Ngenya akikabidhi vyeti na leseni kwa wazalishaji wa bidhaa ambazo zimekidhi matakwa ya Viwango. Hafla hiyo imefanyika...
TUME YA MADINI YAKUTANA JIJINI MWANZA YAWEKA MIKAKATI
Mwenyekiti wa Tume ya Madini nchini Profesa Idris Kikula amesema lengo la bonanza lililowakutanisha watumishi wa Tume ya madini Jijini Mwanza ni kuweka mikakati...
IMO YAENDESHA WARSHA YA MAFUNZO YA SIKU 5 KUSAIDIA TANZANIA KATIKA ULINZI NA USALAMA...
Na Magrethy Katengu
Shirika la bahari duniani limeendesha warsha ya mafunzo ya siku 5 kwa taasisi zaidi ya 20 zilizopo Tanzania bara na Visiwani...
DIWANI LYOTO AFANYA MKUTANO WA HADHARA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WAKE
Na Magrethy Katengu
Diwani wa Halmashauri ya Kinondoni kata ya Mzimuni- Magomeni Mkoa wa Dar es salaam Manfred Lyoto amefanya mikutano ya hadhara kusikiliza kero...












