WAZIRI UMMY AAGIZA HOSPITALI ZA TAIFA ZISIAJIRI WATU KUTOKA MOJA KWA MOJA VYUONI
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali za Taifa (Muhimbili, MOI, JKCI na Mloganzira) wasiajiri Madaktari mojo kwa moja kutoka vyuoni bali wawachukue...
BILIONI 5 ZIMETENGWA KWAAJILI YA KUGHARAMIA HUDUMA ZA UPASUAJI NA MATIBABU YA UBINGWA BOBEZI
Na. WAF - Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 5 kwaajili ya kugharamia huduma za upasuaji na matibabu ya ubingwa...
BMH YAPANDIKIZA UUME KWA MARA YA KWANZA NCHINI
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)kwa kushirikiana na chama cha madaktari bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkojo nchini (TAUS) pamoja na dkt. Bingwa kutoka...
Wafugaji samaki kwa vizimba Kanda ya ziwa kunufaika na mikopo ya bilioni 60
Na Neema Kandoro Mwanza
MAKUNDI ya ufugaji samaki kwa vizimba katika kanda ya ziwa yataanza kunufaika na mkopo usio na riba wa Sh bilioni 60...
MUHONGO AKAGUA KUANZA MRADI WA MAJI MUGANGO-TEGERUKA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof. Sospeter Muhongo amesema wananchi wa vijiji vya Kata za Mugango na Tegeruka wanayo matumaini makubwa...
Wanaostahili Vitambulisho vya NIDA Kugawiwa Kabla ya 2024
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamad Masauni amesema kuwa, katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23,...
UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM WAMUUNGA MKONO RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KUTATUA...
Pichani katikati anayezungumza ni Mwenyekiti wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dar es Salaam Nasra Mohammed
Na Magrethy Katengu
UMOJA wa Vijana wa...
WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WATENDAJI WA TAASISI ZA WIZARA YA MADINI
MIKAKATI YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA BIASHARA YA MADINI YAANISHWA
Leo Juni 12, 2023 Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko jijini Dodoma, amekutana na Wakuu...
TAASISI YA TMFD YAINGIA MAKUBALIANO NA FUO KUENDELEZA SEKTA YA UVUVI NCHINI
Na. Mwandishi wetu, Mwanza.
Taasisi ya Waandishi wa Habari wa kuendeleza shughuli za bahari na uvuvi Tanzania (TMFD) leo Juni 12, 2023 imeingia kwenye makubaliano...
TUTAENDELEA KUDUMISHA UHUSIANO WETU NA NAMIBIA – WAZIRI UMMY MWALIMU
Na. WAF - Dodoma
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Serikali ya Namibia itaendelea kushirikiana kwa pamoja hasa katika sekta ya afya kwa...















