USANIFU KITUO CHA HUDUMA ZA PAMOJA MPAKA WA MANYOVU WAKAMILIKA
Na. Peter Haule, WFM, Dodoma
Serikali imeeleza kuwa imekamilisha usanifu wa Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Boarder Post- OSBP) Manyovu kilichopo mkoani...
SHIRIKIANENI KUKAMILISHA MIRADI YA MAJI KWA WAKATI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameielekeza Wizara ya Maji iendelee kushirikiana na wadau wa sekta ya maji kukamilisha miradi yote inayoendelea kutekelezwa kwa ufanisi na...
UCHUNGUZI WA KIIKOLOJIA KUHUSU UGONJWA WA VIRUSI VYA MARBURG WAANZA KAGERA
Na Theophilida Felician, Kagera
Wataalamu kutoka Wizara za kisekta chini ya Uratibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu wameanza uchunguzi wa Kiikolojia kuhusu ugonjwa wa Virusi...
VIJANA WA MARUKU WAKITEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA NTOMA
Na Theophilida Felician Kagera.
Baadhi ya vijana kutoka Kijiji cha Maruku kata Maruku Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera wamejiunga pamoja na kukitembelea kituo cha kulelea...
PROF. MBARAWA AWAONYA WATUMISHI WANAOVUJISHA SIRI ZA SERIKALI, AFAFANUA BANDARI YA TANGA KUTOTAFUTIWA MWEKEZAJI
Na Boniface Gideon, TANGA
Serikali imesema Bandari ya Tanga haipo kwenye Mpango wa kuwekwa wawekezaji wa ndani au nje hivyo Wananchi wa Mkoa wa Tanga...
UVCCM TAIFA HAWANA HOFU MASHIRIKIANO YA KUIMARISHA UCHUMI WA BANDARI
Na Magrethy Katengu
Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema Serikali inachofanya sasa ni mashirikiano ya Uwekezaji Bandarini ili kwenda kusaidia kuimarisha miundombinu ya...
RAIS SAMIA KUANZA ZIARA JIJI LA MWANZA, RC MAKALLA AWAALIKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI
Awahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi Tamasha la Bulabo litakalofunguliwa na Chifu Hangaya
Awaomba wananchi kumpa mapokezi makubwa kuanzia uwanja wa ndege na kwingineko
Wananchi wajitokeze na...
TBS KANDA YA ZIWA YAKASIMISHA MAJUKUMU YAKE KATIKA HALMASHAURI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS ) Juni 9 limesaini mkataba wa ushirikiano baina yake na Tamisemi kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Mwanza...
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI: HAKUNA BANDARI ILIYOUZWA MIAKA 100
Na Magrethy Katengu
Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema amekanusha upotoshaji Mkubwa unaondelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari imeuzwa kwa kampuni ya DP...
MABEHEWA 6 YA GOROFA YA TRENI YA UMEME (SGR ) YAWASILI LEO
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia shirika la Reli Tanzania imesema reli ya Treni ya Umeme (SGR) ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 98 na baadhi ya...













