Friday, June 26, 2026
Home 2023 May 4

Daily Archives: May 4, 2023

WATENDAJI WATAKIWA KUHAKIKISHA MIRADI YA MAENDELEO INATEKELEZWA

0
Katibu Mkoa Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu amewataka Watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa katika...

KONDOA WATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI JUNI 15 ,2023

0
Serikali imetoa kiasi cha Shilingi Milioni 900,000,000 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Mji wa Kondoa ili kuboresha utoaji wa huduma...

WAZEE WA CCM Z’BAR WANENA KUPANDA KWA PENSHENI.

0
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. BARAZA la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar, limeeleza kuridhishwa na kasi kubwa ya utendaji wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

JUMUIYA YA WAZAZI MARA YAFIKISHA ELIMU YA MAADILI KWA WANAFUNZI

0
Na Shomari Binda-Musoma JUMUIYA ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi( CCM) mkoa wa Mara imefanya ziara ya kutembelea shule za msingi na sekondari kutoa elimu...

WAZIRI MKUU ALITAKA BARAZA LA MICHEZO LA UMOJA WA AFRIKA KUKUZA MICHEZO

0
*Rais Dkt. Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza hilo. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa michezo wa Baraza...

MBUNGE MATHAYO AWAOMBEA BODABODA LESENI KWA MAFUNZO YA MAKUNDI

0
Na Shomari Binda MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo,ameiomba Wizara ya Mambo ya Ndani kuona namna bora ya bodaboda kupata leseni za udereva kwa...

PROFESA MUHONGO ASHAURI UVUVI WA VIZIMBA KUPATA SAMAKI WA KUTOSHA

0
Na Shomari Binda MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini ameshauri Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuwekeza zaidi kwenye uvuvi wa vizimba ili kupata samaki wa...

MIRADI YA CSR YA BARRICK BULYANHULU YALETA MAPINDUZI MAKUBWA YA MAENDELEO KATIKA WILAYA ZA...

0
Katibu Tawala wa mkoa wa Mara, Dominicus Lusajo,akiongea katika kikao cha kukaribisha ujumbe huo. Afisa Mwandamizi wa mahusiano ya Jamii na Usimamizi wa miradi Mgodi...