WANANCHI WAPONGEZA UAMUZI WA SERIKALI WA KUJENGA SHULE MPYA YA MSINGI ANTSI.
Wananchi katika kijiji cha Bargish Antsi wametoa pongezi kwa Serikali kwa uamuzi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi itakayo gharimu kiasi cha shilingi...
WATUHUMIWA 125 WANAOJIHUSISHA NA MATUKIO MBALIMBALI WAKAMATWA JIJINI MWANZA
JESHI la polisi Mkoani Mwanza linawashikilia watuhumiwa 125 kwa matukio mbalimbali ya kiuhalifu akiwemo mwanachuo mwaka wa kwanza anayesoma kozi ya Famasia Bugando aliyejiteka...





