UGONJWA WA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU UMEONGEZEKA KWA 95.4%
Na. WAF - Dodoma
Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu umeongezeka kutoka wagonjwa 688,901 kwa mwaka 2017 hadi kufikia wagonjwa 1,345,847 kwa mwaka 2021...
MBIBO AWASHAURI WACHIMBAJI WADOGO KUVITUMIA VITUO VYA MFANO
Wizara Yasisitiza kuendelea kuwalea Wachimbaji Wadogo
Wachimbaji Wadogo wa Madini ya Dhahabu wameshauriwa kuvitumia Vituo vya Mfano vilivyojengwa na Serikali katika maeneo mbalimbali nchini kwa...
SILENT OCEAN YAFUNGUA OFISI MPYA NCHI INDIA -MUMBAI KUSAFIRISHA MIZIGO KUANZIA SIKU 17-25
NA Magrethy Katengu
SILENT OCEAN kampuni ya Usafirishaji imekuja na suluhisho la usafirishaji mizigo kutoka nchini India kwa muda kuanzia siku 17-25 ambapo hapo awali...
SP EG.MATIKU AKEMEA TABIA ZA WANANCHI KUTELEKEZA FAMILIA ZAO.
Akizungumza katika Mdaharo Siku ya Familia Duniani wilayani hapo tarehe 15 Mei 2023, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ukerewe SP EG. MATIKU alieleza kuwa...







