RAIS SAMIA AHAMISHA WAKUU WA MIKOA WANNE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya Uhamisho wa baadhi ya wakuu wa Mikoa; Mwanza, Morogoro, Kagera na...
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAKUBALI KUENDELEA NA BIASHARA
https://youtu.be/FBLEtA4LJVk
*Majaliwa aagiza kuondolewa kwa kikosi kazi ‘Task Force’ ya Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya...
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAKUBALI KUENDELEA NA BIASHARA
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya biashara katika soko hilo baada ya Serikali kuridhia kuendelea kutatua changamoto mbalimbali...
TIGO WASAINI MKATABA KUPELEKA MAWASILIANO KATA 371 , AWAMU YA NANE
Na Mwandishi Wetu.
Kampuni namba moja inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali nchini Tigo imesaini mkataba mpya wa awamu ya 8 wa kufikisha huduma...
Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi...
MAFUNZO YA MFUMO WA GAMIS KUTOLEWA KWA TAASISI ZA UMMA
Na. Eva Valerian na Peter Haule, WFM, Dodoma
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, ameziagiza Ofisi za Mikoa za...
SERIKALI KUBORESHA USIMAMIZI WA BIASHARA ZA MTANDAO
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) alikijibu swali, bungeni jijini Dodoma.
Na. Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Serikali imesema kuwa imeanzisha kitengo...
WANAFUNZI SHULE YA MUSOMA WAFIKISHIWA ELIMU YA MAADILI
Na Shomari Binda-Musoma
KAMPENI ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania ( SMAUJATA) mkoa wa Mara imeendelea na ziara ya kuzifikia shule na...











