SERIKALI YATAKA VITUO VYA KULELEA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA 5 (DAYCARE) VISAJILIWE
Na Magrethy Katengu
Serikali imewataka wamiliki Wasimamizi, Mameneja na Walezi wa vituo vya kulelea Watoto chini ya umri wa miaka 5 (Day care) kuhakikisha wanasajili...
TBS KUADHIMISHA SIKU YA VIPIMO DUNIANI MEI , 30 . 2023 JIJINI ARUSHA
Mmetrolojia Mkuu, Kitengo cha Maabara ya Metrolojia TBS, Bw.Joseph Mahilla akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani ambayo yanatarajiwa...
DIT WAJA NA MIKAKATI YA KUZIPELEKA BUNIFU ZETU SOKO LA KIMATAIFA
Na Mwandishi Wetu.
Inaelezwa kuwa, wabunifu wa Tanzania ni wazuri lakini wanahitaji kutangazwa ili waonekane na watu wenye kampuni kubwa duniani waweze kuwekeza katika uzalishaji.
Hayo...
WAZIRI WA ZAMANI WA KILIMO NA MIFUGO HERMAN KIRIGINI AFARIKI DUNIA
Na Shomari Binda-Musoma
ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia.
Akizungumza na Mzawa kwa...
RAIS SAMIA ASHUKURIWA KUENDELEA KUZIPA KIPAUMBELE SHUGHULI ZA ULINZI
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....
MBUNGE GHATI AWAKUMBUKA WANAFUNZI HUDUMA YA MAJI
Na Shomari Binda
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara, Ghati Zephania Chomete, ameiomba serikali kupeleka miradi ya maji mashuleni ili kuweza kuwahudumia wanafunzi.
Miradi hiyo...
CFAO MOTORS TANZANIA FORGES COLLABORATION WITH CAR INSURERS TO ENSURE HASSLE-FREE SERVICES FOR CAR...
In a move aimed at providing enhanced services and convenience to car owners, CFAO Motors Tanzania has recently partnered with leading car insurers to...
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 76 WA NCHI WANACHAMA WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI.
Na. WAF- Geneva, Uswisi
Tanzania imeshiriki Mkutano Mkuu wa 76 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Afya Duniani, ulioanza Tarehe 21 hadi 30 Mei 2023...











