TANAPA YAWAKARIBISHA WATALII KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA, YATANGAZA NEEMA YA BEI.
Na Boniface Gideon, TANGA
IDADI ya watanzania wanaotembelea hifadhi mbalimbali zilizopo hapa nchini zinazo simamiwa na shirika la hifadhi ya Taifa 'TANAPA' inazidi kuongezeka kadiri...
NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA ZAGEUKIA MIKOPO YA NDANI
Na. Peter Haule, WFM, Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba, amesema kuwa nchi za Kusini mwa Afrika...
TBS WATOA ELIMU , UMUHIMU WA KUZINGATIA TAARIFA ZILIZOPO KWENYE VIFUNGASHIO VYA BIDHAA KABLA...
Kaimu Meneja wa Ukaguzi na Utekelezaji wa Sheria TBS, Bw. Moses Mbambe akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za TBS Makao Makuu leo...
FILAMU YA KWANZA YA UBUNIFU WA KISAYANSI YAZINDULIWA
Na Magrethy KatenguAzam Tv Kwa ushirikiano na Power Studio imezindua filamu ya kwanza yenye Ubunifu wa Kisayansi "EONII" iliyojaa simulizi za kusisimua vionjo vyenye...
UMMY: TUTAJENGA MASOKO YA KISASA TANGA WANANCHI MSIHOFU
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
Mbunge wa Jimbo la Tanga ambaye pia ni Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Ujenzi na ukarabatI wa Masoko makubwa Jijini...
ALIYOYASEMA DC JOKATE BAADA YA KUFANYIKA MAMATHON KOROGWE
Na Mwandishi Wetu Korogwe
MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amesema kuwa kazi kubwa inayofanywa na Serikali katika kuboresha miundombinu za huduma...
MAJALIWA: TUTAUENZI MCHANGO WA WAKILI MKONO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa uliotolewa na aliyewahi kuwa Mbunge wa Butiama mkoani Mara, Marehemu Wakili Nimroad Mkono...
YANGA TAWI LA MARA LAHIMIZA MASHABIKI KUWA WANACHAMA
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa Yanga tawi la Mara, Ismail Massaro, amewataka mashabiki wa timu hiyo kubadilika na kuwa wanachama kamili.
Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa...
JOYCE MANG’O ATAKA WABUNGE KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kupitia kundi la wanawake, Joyce Mang'o, amewataka wabunge na viongozi wengine kuwawezesha wanawake kiuchumi.
Kauli hiyo...
Makala aitaka NEMC kutoa Elimu zaidi juu ya madhara mlio Mkubwa kwenye miziki
MKUU wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla ameitaka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kutowafungia biashara wenye kumbi za Miziki na Burudani...













