Friday, June 26, 2026
Home 2023 April 12

Daily Archives: April 12, 2023

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA BENKI YA DUNIA JIJINI WASHINGTON

0
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Dunia,...

WATU 400 KUFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO MBARALI

0
Na. WAF-Mbarali Zaidi ya watu 400 wenye matatizo ya macho kupatiwa matibabu ikiwemo ya upasuaji wa mtoto wa jicho katika kambi ya siku 10 itakayaofanyika...

Taasisi za Umma, Binafsi zatakiwa kusitisha matumizi ya kuni na mkaa ifikapo Januari 31,...

0
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imezitaka Taasisi zote za Umma na Binafsi Tanzania Bara zinazoandaa chakula na kulisha watu zaidi ya 100...

MAJINA YA KIGENI KUENDELEA KUTUMIKA KWA BAADHI YA RASILIMALI ZA TAIFA KULINDA HISTORIA NA...

0
Serikali imesema inaendelea kuyatumia majina yaliyotolewa katika kipindi cha utawala wa kikoloni kulinda uhifadhi wa historia na rasilimali zilizopo nchini kwa manufaa ya Taifa...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MAJAJI MWANZA APRIL 12

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mhimili wa Mahakama kushiriki kikamilifu katika kazi ya...

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAANZA KUWANOA WAJUMBE WA TIMU KUU ZA MAANDALIZI YA...

0
Na. Joseph Mahumi, WFM, Dar es Salaam Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa wajumbe wa Timu Kuu za Uandishi na Uhariri wa Dira ya Taifa ya...

BENKI YA DUNIA YAISIFU TANZANIA KUSIMAMIA UCHUMI KWA UMAHILI

0
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C, Marekani BENKI ya Dunia imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayopata...

DKT.MPANGO SERIKALI ITAWACHUKULIA HATUA WALE WOTE WATAKAOBAINIKA WAMEFANYA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA UMMA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika wamefanya ubadhirifu wa fedha...

Ongezeko Bajeti ya Utafiti Yaiwezesha TARI- Dakawa Kuongeza Uzalishaji Mbegu za Mpunga

0
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Kutokana na kuongezeka kwa bajeti ya kilimo katika eneo la utafiti kutoka Shilingi bilioni 11.5 hadi Shilingi bilioni 40.7 kwa...

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA MWEKEZAJI KUJENGA KIWANDA CHA MIFUKO YA KUHIFADHIA DAMU NCHINI

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu amewaomba Wawekezaji kujitokeza kujenga Viwanda vya kuzalisha Mifuko ya kuhifadhi damu Ili kusaidia kupunguza gharama ya...