Friday, June 26, 2026
Home 2023 March

Monthly Archives: March 2023

WAZIRI NDALICHAKO AKAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2023

0
Na: OWM - KVAU – MTWARA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ametembelea...

MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI AKIAGA KUINGIA KWENYE NDEGE

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango akimuaga Makamu wa Rais wa...

TCRA KUKAGUA VIFAA VYA MAWASILIANO NJE YA NCHI

0
*Kazi ya Ukaguzi inafanywa na wakala waliongia mkataba Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuanzia Mei 23, mwaka huu vifaa vya mawasiliano ya...

MBETO: AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MASOKO ZANZIBAR.

0
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kimeridhishwa na hali ya upatikanaji wa chakula katika mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na bei za...

SERIKALI YAANZA MAANDALIZI YA DIRA MPYA YA TAIFA MAENDELEO 2050

0
Na Farida Ramadhani, Dodoma Wizara ya Fedha na Mipango imesema kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuandaa Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo (Vision 2050), ambayo...

MZEE MPILI ALAMBA SHAVU DODO KUWA BALOZI KAMPUNI DAR QUALITY MOTORS

0
Na Magrethy Katengu. KAMPUNI ya uuzaji wa Vifaa vya Magari (DAR QUALITY MOTORS) imesema itahakikisha inasambaza bidhaa bidhaa za spea za Magari aina zote zenye...

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA ” MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC...

0
Dar es Salaam.Machi 24,2023- Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza uzinduzi wa kampeni ya MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC inayolenga kuwapa watumiaji wa ATM...

NAIBU WAZIRI MWANA FA AIPONGEZA BENKI YA NBC , UDHAMINI WAO KATIKA MICHEZO

0
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Hamis Mwinjuma ameipongeza Benki ya NBC kutokana na jitihada zake za kusaidia maendeleo ya michezo mbalimbali nchini. Akizungumza...

DKT. KIJAJI AITAKA TBPL KIBAHA KUWEKA MIKAKATI YA KUITANGAZA DAWA YA KUUA VILUWILUWI VYA...

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji (Mb.) amekitaka Kiwanda cha kutengeneza viuadudu (TBPL) kuhakikisha kinajitangaza ndani na nje ya nchi ili...

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA RANDAMA KWA WIZARA YA MADINI NA TAASISI ZAKE

0
Kitandula aipongeza wizara kwa kuwasilisha vipaumbele vya mwaka 2023/24 vinavyotekelezeka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepitisha Maelezo ya Randama kuhusu Makadirio...