Friday, June 26, 2026
Home 2023 March 26

Daily Archives: March 26, 2023

WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA EMD MASWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua jengo la wagonjwa wa dharura kwenye hospitali ya wilaya ya Maswa ambalo limegharimu sh. milioni 311. Akizungumza na mamia ya...

KUELEKEA KIKAO KAZI CHA 18 CHA TAGCO KESHO, NAIBU KATIBU MKUU SELESTINE KAKELE AKAGUA...

0
NA KHALFAN SAID MAANDALIZI ya mwisho ya Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO) kinachoanza kesho Jumatatu Machi 27, 2023 jijini Dar...

KAMATI YA BUNGE: HAKUNA MUDA WA KUONGEZWA UJENZI WA DARAJA LA JPM (KIGONGO –...

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Balozi Mhandisi Aisha Amour amemtaka mkandarasi anayejenga mradi wa Daraja la JPM ( Kigongo- Busisi) Mkoani...

VIONGOZI WA KAMATI YA AMANI WAPONGEZA OFISI YA MKUU WA MKOA KUANZA KUCHUKUA HATUA...

0
Viongozi wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza Dkt.Jacob Mutashi na Askofu Robert Bundala wameipongeza Serikali ya Mkoa huo kwa kuanza kuchukua tahadhari...

WAZIRI UMMY AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU UGONJWA WA MARBUG ASISITIZA JUHUDI ZA KUUDHIBITI ZINAENDELEA...

0
Na Theophilida Felician, Kagera Waziri wa afya Ummy Mwalimu ameuhakikishia umma kuwa jitihada za Serikali chini ya wizara ya Afya katika kuudhibiti mlipuko wa ugonjwa...

SERIKALI KUBORESHA HUDUMA KWA WATALII ILI KUWAFANYA WAWEZE KUKAA SIKU NYINGI ZAIDI

0
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati mahsusi...