SERIKALI YA TANZANIA YAKABIDHI MISAADA YA KIBINADAMU KWA SERIKALI YA MALAWI
NA: mwandishi wetu
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe. Humphrey Polepole ameshiriki katIka zoezi la kukabidhi misaada ya Kibinadamu kutoka Tanzania kwa Serikali ya Malawi...
HAKUNA ONGEZEKO LA MGONJWA MPYA WA MARBURG
-Watatu waliothibitika wanaendelea na matibabu
Na. WAF - Kagera, Bukoba
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia leo tarehe 25 Machi, 2023 hakuna wagonjwa...
WIZARA YA MADINI NA WIZARA YA MALIASILI KUANDAA MIONGOZO YA UCHIMBAJI MADINI HIFADHINI
Katavi
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameeleza kuwa Wizara ya Madini na Wizara ya Maliasili na Utalii zitashirikiana kuandaa Miongozo ya Uchimbaji wa...
MAMA JANETH MAGUFULI ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA CONGO
Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Hayati John Pombe Magufuli ametunukiwa Tuzo ya...
SERIKALI INATOA WITO KWA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI NA KUTOA TAARIFA
Na. WAF
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu leo amewasili Mkoani Kagera kwa lengo la kujua hali inavyoendelea juu ya ugonjwa wa MARBURG ulioibuka hivi...
WAZIRI MKUU AKAGUA MIRADI WILAYA YA ITILIMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa shule ya sekondari ya Njalu katika kijiji cha Kimali, kata ya Nyamalapa, wilayani Itilima, mkoani Simiyu na...
MITAMBO YA KUCHIMBA VISIMA VIREFU YAKABIDHIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Leo 25 Machi 2023, amezindua mradi wa maji wa Ngulyati - Nyamswa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu pamoja na kukabidhi mitambo...
RC MAKALA ATOA MAAGIZO KWA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTUMIA TAKWIMU ZA SENSA...
Na. Magrethy Katengu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amosi Makala amewataka Viongozi wa Halmashauri kusimamia Majukumu ya vizuri na kugawa raslimali zote Kwa...
TUUNGANE KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU – WAZIRI MKUU
Awataka Ma-DC wasimamie fedha za ununuzi wa dawa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi waungane na Serikali na wadau wa maendeleo kutokomeza ugonjwa wa kifua...












