DKT. KIJAJI AITAKA TBPL KIBAHA KUWEKA MIKAKATI YA KUITANGAZA DAWA YA KUUA VILUWILUWI VYA...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji (Mb.) amekitaka Kiwanda cha kutengeneza viuadudu (TBPL) kuhakikisha kinajitangaza ndani na nje ya nchi ili...
KAMATI YA BUNGE YAPITISHA RANDAMA KWA WIZARA YA MADINI NA TAASISI ZAKE
Kitandula aipongeza wizara kwa kuwasilisha vipaumbele vya mwaka 2023/24 vinavyotekelezeka
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepitisha Maelezo ya Randama kuhusu Makadirio...
WATAALAM IDARA BIASHARA NA UWEKEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WANOLEWA
Na Magrethy Katengu
Wataalamu wa Idara Biashara na Uwekezaji Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam wapewa Mafunzo namna bora ya Utekelezaji Majukumu yao katika...
MBUNGE MASANJA AKABIDHI MIZINGA YA NYUKI 100 NA MAJIKO YA GESI 150 KWA WANAWAKE...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amekabidhi mizinga ya nyuki 100 yenye thamani...
UJENZI WA SGR KIPANDE CHA TANO MWANZA – ISAKA WAFIKIA ASILIMIA 28
Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji, Mitaji ya Umma ( PCI ) imeliagiza Shirika la Reli Tanzania ( TRC ) kusimamia hatua zote za ujenzi...
DC ZAINABU ABDALLAH ATOA MAAGIZO MAZITO PANGANI, ATAKA USHIRIKISHWAJI WA MADIWANI VIKAO VYA MAPATO
Na Boniface Gideon, Pangani
Mkuu Wa Wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah amewataka wakuu wa Idara, Taasisi pamoja na Mkurugenzi wilayani hapo kushirikiana pamoja na Madiwani...
WAZIRI MKUU AKAGUA UWANJA WA NDEGE TERMINAL I
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua uwanja wa ndege wa Terminal I ili kujiridhisha na kazi ya ukarabati unaoendelea kwenye eneo la kuegesha na kufanyia...










