Friday, June 26, 2026
Home 2023 March 14

Daily Archives: March 14, 2023

WAZIRI SIMBACHAWENE “TUTUMIE RASILIMALI ZILIZOTOLEWA KUFANYA KAZI”

0
Na. Mwandishi wetu – Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene, amewataka watumishi wa...

JITIHADA ZA MAKUSUDI ZAFANYIKA KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU IFIKAPO 2030.

0
Na Magrethy Katengu Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imekuwa ikiongeza jitihada za makusudi kwa kuweka mikakati mbalimbali ikiwemo kutoa Elimu Ili kuhakikisha...

WANANCHI WA TABORA WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWASOGEZEA HUDUMA ZA KIBINGWA

0
-Wagonjwa 3000 kufikiwa na huduma za kibingwa Na. Catherine Sungura, WAF-Tabora Wakazi wa Tabora na viunga vyake wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya afya kwa kuwasogezea huduma...

WAZIRI MKUU: JUKUMU LA USALAMA BARABARANI NI LA KILA MTU

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa jukumu la usalama barabarani ni la kila mtu na si la Serikali pekee na amewataka wananchi wote watoe...

MOODY’S WATUA NCHINI, KUFANYA TATHIMINI

0
Na. Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma Taasisi ya kimataifa inayojihusisha na kuzifanyia tathimini nchi mbalimbali ili kujua uwezo wake wa kukopesheka katika masoko ya fedha ya Kimataifa, Moody’s, imetua...

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MAZITO KUDHIBITI AJALI BARABARANI

0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuanzia Januari mwaka 2020 hadi Desema, 2022 jumla ya ajali 5132 zilizoripotiwa kwenye...

MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KUTEMBELEA TANZANIA

0
Makamu wa Rais wa Marekani Mheshimiwa Kamala Harris anatarajiwa kutembelea Tanzania kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi 2023, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri...

ASANTENI KWA KUSHIRIKIANA NASI KATIKA KUBORESHA SEKTA YA AFYA- DKT. MOLLEL

0
Naibu Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel ameushukuru uongozi wa Shirika la afya la Japan, TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP kwa kuendelea kushirikiana na Serikali ya...

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIPATIA GST MASHINE ZA UTAFITI WA MADINI

0
Na.Samwel Mtuwa - GST Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Serikali Awamu ya Sita kwa kuipatia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti...

KATAMBI AFURAISHWA USHIRIKISHWAJI WAZAWA MRADI WA SGR

0
Na: Mwandishi Wetu – TABORA Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amefurahishwa na ushirikiwaji wa wazawa...