TBS WAKUTANA NA WADAU WA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI NA MIFUKO MBADALA
Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS),Dkt.Athuman Ngenya akiongoza Kikao cha Waagizaji, Wazalishaji na Wasambazaji wa Mifuko Mbadala na Vifungashio vya Plastiki , Kikao...
KAMATI YA AMANI MKOA WA MWANZA YALAANI TUKIO LA KUVAMIWA KANISA.
Kamati ya Amani Mkoa wa Mwanza imekutana na kulaani na kupinga tukio la kanisa katoliki kuvamiwa na kuharibiwa kwa baadhi ya vifaa mkoani Geita...
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ATOA WITO KWA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa nchi wanachama Zisizofungamana na Upande Wowote (Non-Aligned Movement)...
DC NYANGASA ARIDHISHWA NA EMD NA JENGO LA UTAWALA KISARAWE
KISARAWE-Pwani
Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mhe Fatma A.Nyangasa leo tarehe 02/03/2023 amefanya ziara ya kutembelea miradi miwili ya maendeleo katika wilaya hiyo ikiwemo jengo...
WCF YAWALIPA WANUFAIKA 10,454 SHILINGI BILIONI 49.44 TOKA KUANZISHWA KWAKE
Na. Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), umefanikiwa kulipa fidia stahiki ya jumla ya Shilingi bilioni 49.44 kwa wakati kwa wafanyakazi wanaoumia,...
TEWW Yaweka Mikakati Wasichana Waliokatisha Masomo Kufika Vyuo Vikuu
Na. Timoth Anderson
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imekutana na watekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari kwa Njia Mbadala (SEQUIP-AEP) na...









