Friday, June 26, 2026
Home 2023 March 23

Daily Archives: March 23, 2023

Mazingira Wezeshi kwa Wawekezaji Yafikisha Viwanda 1,522 Pwani

0
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO Serikali inaendelea kuhakikisha kuwa inaweka mazingira wezeshi ambayo yanawawezesha wafanyabiashara, wawekezaji na wadau wote wa taasisi binafsi kuweza kufanya biashara...

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUENDELEA KUIMARISHA UWIANO WA KIJINSIA KATIKA UHIFADHI WA WANYAMAPORI

0
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mradi wa Kupambana na Ujangili na Biashara Haramu ya Nyara unaofadhiliwa UNDP imesema itaendelea kuchukua hatua za kuimarisha...

WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI

0
Na. WAF-Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amekutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Michael Battle kwenye ofisi za Wizara jijini Dodoma. Katika...

UK EXPOT FINANCE (UKEF) KUSAIDIA UJENZI WA BARABARA NA UKARABATI WA UWANJA WA NDEGE...

0
Na Benny Mwaipaja, London Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Taasisi ya Uingereza inayohusika na utoaji mikopo ya UK Export...

TAASISI YA PASS TRUST IMEFANYA MKUTANO NA WADAU WA KILIMO MKOANI KATAVI

0
Na Mwandishi Wetu Taasisi ya PASS Trust imefanya kongamano na wajasiliamali na wadau wote waliopo katika mnyororo wa kilimo mkoani KATAVI, ambalo linalenga kuhimiza na...

PASS TRUST KUWAWEZESHA WAKULIMA KULIMA KIBIASHARA , WAKULIMA ZAIDI YA MIL. 3 KUNUFAIKA NA...

0
Mkurugenzi wa Biashara kutoka Shirika la PASS TRUST akizungumza na Wakulima katika mkutano maalum uliolenga kuwaendeleza na kuwaunganisha Wakulima kuwaunganisha na Huduma za Kifedha...

Mkopo nafuu kuimarisha Mamlaka za Maji – Mha. Luhemeja

0
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Cyprian Luhemeja amezitaka mamlaka za maji nchini kuweka malengo ya makusanyo ili kuona thamani ya kuongeza mtandao...

Serikali ya Tanzania yatoa msaada kwa wahanga wa kimbunga Fredy nchini Malawi.

0
Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulika na Operesheni pamoja na Uratibu wa shughuli za Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Luteni Kanali Selestine...