WANANCHI WALIOTOKA KATIKA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WANAUWEZO WA KUMILIKI ARDHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema wananchi waliotoka katika Mamlaka ya hifadhi ya...
WANAWAKE WIZARA YA FEDHA WATOA MSAADA SHULE YA BUIGIRI
Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Chamwino
Watumishi Wanawake Wizara ya Fedha na Mipango wametoa msaada wa mahitaji ya msingi kwa wanafunzi wenye ulemavu...
TMA YATOA UTABIRI WA HALI YA HEWA UNAONESHA UPEPO AMBAO UTAKAU KILOMETA 30 KWA...
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya hali ya Hewa TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha Upepo wa Pwani unafikia Kilometa 30 kwa saa huku...
WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA ANATAKA KUONA MABADILIKO SEKTA YA MIFUGO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka kuona mabadiliko kwenye sekta ya mifugo si tu kwa kijiji cha Msomera bali...
TANZANIA NA DENMARK KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI
Na Josephine Majura, (WFM) Doha Qatar
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa Denmark imekubali kushirikiana na Tanzania katika kupambana...
UBUNIFU WA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA CHACHU KATIKA KULETA USAWA WA KIJINSIA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameshiriki katika hafla ya ugawaji majiko Banifu 114 yanayotumia nishati safi na Salama ya kupikia katika...
Waziri Dkt.Pindi Chana Ateta na Watumishi wa Wizara
Na Shamimu Nyaki
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewataka watumishi wa wizara hiyo wafanye kazi kwa kuzingatia matakwa ya...
JWT KAGERA WAIOMBA SERIKALI KUENDELEA KUZITATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAFANYA BIASHARA
Na Theophilida Felician Kagera.
Jumuiya ya wafanyabiashara Mkoa Kagera (JWT) imeiomba Serikali kuendelea kuzifanyia kazi ya utatuzi kwa baadhi ya changamoto kadhaa zinazowakabili wafanyabiashara wa...











