Friday, June 26, 2026
Home 2023 March 22

Daily Archives: March 22, 2023

WAISLAM WASHAURIWA KUTUMIA MWEZI RAMADHANI KUFANYA TOBA

0
Na Magrethy Katengu Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Dkt Abubakar Zuber Bin Ali amewaomba Waislamu wote katika kipindi chote cha Mwezi wa Mfungo wa Ramadhani...

DKT. MWINYI: SERIKALI KUTENGA FEDHA KULINDA HADHI YA URITHI WA MJI MKONGWE ZANZIBAR

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewataka Wananchi waelewe dhamira ya Serikali ni kuhakikisha Mji Mkongwe unabaki kama...

BANDARI KAVU YA KWALA KUANZA KUTOA HUDUMA HIVI KARIBUNI

0
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema kuwa Bandari Kavu ya Kwala inatarajiwa kuanza kufanya kazi muda wowote kuanzia...

Mamlaka za maji zatakiwa kuwa na Mpango wa Biashara

0
Wakurugenzi wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira wanaofanya kazi bila kuwa na mpango wa biashara wamefahamishwa kuwa watajiondosha katika nafasi hizo baada...

MAKANGULA: VIONGOZI WA CCM SAIDIENI VIJANA

0
Viongozi wa CCM ngazi zote ambao ni walezi wa Jumuiya wametakiwa kuendelea kuwasaidia vijana kutekeleza majukumu Yao ipasavyo yakiwemo ufanywaji wa vikao, kuleta ubunifu...