Friday, June 26, 2026
Home 2023 March 30

Daily Archives: March 30, 2023

MBETO: AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MASOKO ZANZIBAR.

0
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kimeridhishwa na hali ya upatikanaji wa chakula katika mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na bei za...

SERIKALI YAANZA MAANDALIZI YA DIRA MPYA YA TAIFA MAENDELEO 2050

0
Na Farida Ramadhani, Dodoma Wizara ya Fedha na Mipango imesema kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuandaa Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo (Vision 2050), ambayo...

MZEE MPILI ALAMBA SHAVU DODO KUWA BALOZI KAMPUNI DAR QUALITY MOTORS

0
Na Magrethy Katengu. KAMPUNI ya uuzaji wa Vifaa vya Magari (DAR QUALITY MOTORS) imesema itahakikisha inasambaza bidhaa bidhaa za spea za Magari aina zote zenye...

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA ” MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC...

0
Dar es Salaam.Machi 24,2023- Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza uzinduzi wa kampeni ya MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC inayolenga kuwapa watumiaji wa ATM...

NAIBU WAZIRI MWANA FA AIPONGEZA BENKI YA NBC , UDHAMINI WAO KATIKA MICHEZO

0
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Hamis Mwinjuma ameipongeza Benki ya NBC kutokana na jitihada zake za kusaidia maendeleo ya michezo mbalimbali nchini. Akizungumza...