RAIS SAMIA: ROYAL TOUR IMELETA WATALII WENGI, AALIKA WAWEKEZAJI KUWEKEZA SEKTA YA UTALII
Pretoria, Afrika Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametumia sehemu ya hotuba yake akihitimisha ziara yake nchini Afrika ya...
BILIONI 4.6 KUIBADILISHA RANCHI YA KONGWA
Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 4.6 kwa ajili ya kufanya maboresho makubwa katika ranchi ya Kongwa ikiwa ni pamoja na ununuzi wa mbegu...
SERIKALI YATOA TAHADHARI JUU YA UWEPO WA UGONJWA USIOJULIKANA MKOANI KAGERA
Na. WAF - Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari juu ya uwepo wa ugonjwa ambao bado haujajulikana mkoani Kagera katika Wilaya ya Bukoba...
MSISAFISHE MASIKIO KWA PAMBA, SIKIO HUJISAFISHA LENYEWE: DKT. BAZILIO
Daktari Bingwa wa Pua,Koo na Masikio kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Tumbi Dkt. Jane Bazilio akimhudumia mmoja wa wananchi wa Tabora waliofika kupata huduma...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MIRADI INAYORATIBIWA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula...
DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI
Watanzania waendelea kunufaika Sekta ya Madini, ajira 15,341 zamwagwa, manunuzi ya ndani ya nchi yafikia Dola za Marekani bilioni 2.22
Naibu Waziri wa Madini, Dkt....
WAZIRI MKUU AZINDUA WIKI YA MAJI, ASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA
Ataka wananchi watunze vyanzo vya maji, wawafichue waharibifu*
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema suala uhifadhi wa mazingira ni muhimu kwa nchi na akataka kila Mtanzania...
BILIONI 2.2 KUBORESHA MAKUMBUSHO ZA TAIFA NCHINI ILI KUVUTIA WATALII
Serikali kupitia Mpango wa Fedha za Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19 imetoa jumla ya shilingi Bilioni 2.2 kwa...
TWIGA MINERALS NA BARRICK WADHAMINI MKUTANO WA JUKWAA LA PILI LA UTEKELEZAJI WA USHIRIKISHWAJI...
Kampuni ya Serikali Twiga Minerals Corporation, yenye ubia na kampuni ya kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Barrick Gold Corporation, ni mdhamini...
RC MALIMA: MWANZA HAKUNA MRADI ULIOSIMAMA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Adam Malima amesema Serikali inaendelea kutekeleza Miradi ya Maendeleo kwa ufanisi Mkubwa mkoani humo ikiwemo na Miradi ya...












