ZIARA YA RAIS SAMIA AFRIKA KUSINI YALETA MATOKEO CHANYA SEKTA YA MADINI
Zaidi ya wawekezaji 30 kutoka Afrika Kusini wameingia nchini
Wamepongeza marekebisho ya Sheria yaliyofanyika sekta ya Madini
Baada ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
DKT. MWIGULU NCHEMBA ANA KWA ANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA AUSTRIA
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewahimiza wawekezaji kutoka Austria na Ujerumani, kuharakisha mchakato...
MAAFISA HABARI SERIKALINI ONGEZENI UBUNIFU – MAJALIWA
Awataka wahakikishe wananchi wanapata elimu na taarifa sahihi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini waongeze ubunifu wa kusukuma ajenda za...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UWEKEZAJI YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA KUSAFISHA...
Na Sheila Katikula, MwanzaMakamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji, Mitaji ya Umma, Vuma Augustine amesema, kamati hiyo imeridhishwa na Uwekezaji...
MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI YA NMB NA TFS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema suala la kupanda miti ni lazima na kuzitaka Halmashauri zote...
WAZIRI UMMY AFIKA KWENYE VIJIJI UGONJWA WA MARBURG ULIPOANZIA
Na. WAF - Bukoba, Kagera
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea vijiji vya Kata ya Maruku na Kanyangele vilivyopo Wilaya ya...
WAZIRI UMMY ATEMBELEA WATUMISHI WALIOWEKWA KARANTINI
Na. WAF - Bukoba, Kagera
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatembelea watumishi wa afya waliowekwa sehemu maalumu ya uangalizi baada ya kuwahudumia wagonjwa wa...
MHE. MAJALIWA AWATAKA MAAFISA HABARI KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA KIMKAKATI
Na John Mapepele
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka Maafisa Habari wote nchini kuitangaza Tanzania ndani na nje...
TAASISI YA UWEZESHAJI WASICHANA NA VIJANA KATIKA TEHAMA ( APPS AND GIRLS ) WASHINDA...
Mpango wa Tigo wa Uwajibikaji kwa Jamii kwa kushirikiana na Apps and Girls, shirika lisilo la kiserikali la ndani limeibuka mshindi kama mabingwa watano...












