GST YAJIPANGA KUKAMILISHA TAFITI ZA MADINI CHUNYA
Kampuni ya Goldorox Tanza Ltd yaipongeza GST kwa kasi, weledi na ubora wa vifaa
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imejipanga kikamilifu...
WAFANYABIASHARA WATAKAOHODHI CHAKULA KUSHTAKIWA KWA KOSA LA UHUJUMU UCHUMI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa kwa sasa hali ya chakula ni nzuri na ya kutosha...
MAKOCHA 25 WANOLEWA DIPLOMA B CAF
Na Boniface Gideon, TANGA
JUMLA ya makocha 25 wapo mkoani Tanga wakipatiwa mafunzo ya ukocha ngazi ya Diploma B ya CAF inayoendeshwa na shirikisho la...
SHIRIKA LA TMFD LABAINI WATOTO KUTUMIKISHWA KWENYE MIALO
Kwenye mialo mingi ya uvuvi kuna suala la ajira za watoto kwani wazazi wamegeuza watoto kuwa ni sehemu ya nguvu kazi ya utendaji kazi...
TANZANIA NA BENKI YA DUNIA YASAINI MKATABA WA MIKOPO NAFUU NA MISAADA YA SHILINGI...
Benny Mwaipaja,WFM, Dar es Salaam
Tanzania na Benki ya Dunia zimetiliana Saini mikataba miwili ya mkopo nafuu na msaada yenye thamani ya dola za Marekani...
TANZANIA NA BENKI YA DUNIA ZASAINI MKOPO NAFUU WA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Na WAF- DSM
Serikali ya Tanzania na Benki kuu ya Dunia zimesaini mkopo nafuu utaosaidia kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa Tanzania ikiwemo kupunguza...
WAZIRI WA FEDHA MHE. MWIGULU NCHEMBA ATETA NA MABALOZI WA CANADA NA JAPAN NCHINI...
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wawili, Balozi wa Canada na Japan...
MIKAKATI MIPYA YA KUWEZESHA VIJANA KUJIAMINI NA KUJENGA UTHUBUTU WA KUJIAJIRI
Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi imekuja na mikakati mipya ya kuwawezesha vijana kujiamini na kujenga uthubutu wa kujiajiri baada kumaliza elimu zao za vyuo...
MBUNGE MATONDO ATOA VIFAA MAALUM KWA WATU WENYE ULEMAVU
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima, amempongeza Mhe. mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mwanza Furaha Matondo kwa kutoa msaada wa vifaa...
MTOKO WA KIBINGWA HAUNA MBAMBAMBA TIKETI ZAENDELEA KUTOLEWA
WASHINDI wa Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa ya Kampuni ya Ubashiri ya Betika waendelea kujishindia Tiketi za usafiri wa Ndege (kwenda na kurudi) ili...













