Friday, June 26, 2026
Home 2023 February 21

Daily Archives: February 21, 2023

SERIKALI YATOA KIBALI KWA KAMPUNI YA EACOP KUANZA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI...

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Wizara ya Nishati imekabidhi kibali cha ujenzi wa Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki kwa kampuni ya EACOP Tanzania...

MABASI 22 YAFUTIWA LESENI KUSAFIRISHA ABIRIA KWA KIPINDI CHA MWEZI JANUARI HADI FEBRUARI MWAKA...

0
Na Magrethy Katengu MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeendelea na mikakati ya kudhibiti ajali barabarani, baada ya kusitisha leseni za usafirishaji abiria kwa...

POLISI KAGERA YA MSHIKIRIA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MKE WA MWENYEKITI BUKOBA

0
Na Theophilida Felician, Kagera Jeshi la Polisi Mkoani Kagera linamshikiria mtu mmoja aitwaye Paschal Kaigwa Mwenye umri wa miaka (21) mkazi wa kata ya Kishogo...

KAMPENI YA RAIS SAMIA YA KUNUNUA KILA GOLI TSH. MILIONI 5 KUENDELEA

0
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza kuwa ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kununua kila goli la Simba SC na Yanga SC...

MGOGORO MKATABA WAFANYABIASHARA SOKO SM 2000, MKUU WA WILAYA UBUNGO AINGILIA KATI

0
Na Magrethy Katengu Wafanyabiashara Wamachinga wa soko la Ubungo SM 2000 wanakabiliwa na changamoto sitofahamu baina na Halmashauri yao kuhusu ukarabati wa soko hilo kuambiwa...

TAASISI YA KUSAIDIA SEKTA YA KILIMO ( PASS TRUST ) YAZINDUA KAMPENI YA KIJANISHA...

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi binafsi ya Kusaidia Sekta ya Kilimo (PASS Trust), Yohane Kaduma,akiongea leo  katika uzinduzi wa kampeni ya KIJANISHA MAISHA kwa wadau...

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA UFAFANUZI UWEPO WA KIMBUNGA ‘FREDDY’

0
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za uwepo wa kimbunga “Freddy” zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii...

SILINDE: TOENI TAARIFA SAHIHI ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI

0
Asila Twaha, OR - TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. David Silinde amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi (miundombinu),...

DKT. DUGANGE ABAINI UPOTEVU WA DAWA HOSPITALI YA WILAYA BABATI, AAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA

0
OR TAMISEMI - Manyara Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amebaini mianya ya upotevu wa madawa katika hospitali ya wilaya...

WAZIRI KAIRUKI ATOA MAAGIZO HAYA 14 KWA TARURA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

0
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Angellah Kairuki ametoa maagizo 14 kwa Wahandisi wa Idara ya...