WATENDAJI WA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WATAKIWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewataka watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuelimisha wananchi...
NABII PHILIBERT: WATANZANIA TUMWOMBEE RAIS SAMIA, MUNGU AMJALIE HEKIMA NA BUSARA
Na Magrethy Katengu
Wtanzania wameshauriwa kuwa na Imani na Rais Dkt Samia Suluhu Hassani kwani ana maoni makubwa na Nchi hii hivyo waendelee Kumwombea Mungu...
TUME YA TEHAMA TANZANIA NA UNESCO ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO
Tume ya Tehema Tanzania (ICTC) leo tarehe 13 Februari 2023 Imesaini mkataba wa ushirikiano na UNESCO kwa ajili ya utafiti wa matumizi ya interneti.
Awali...
MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA WILAYA YA SONGWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 13, 2023 ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Songwe ambapo akiwa katika kijiji cha...
TANZANIA NA INDONESIA KUSHIRIKIANA SEKTA YA UMEME, MAFUTA NA GESI.
WAZIRI wa Nishati January Makamba amefanya ziara ya kikazi nchini Indonesia, lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya umeme,...
ENGEN NA VIVO ENERGY WAUNGANA KUKUZA BIASHARA YA NISHATI NA VILAINISHI AFRIKA
KAMPUNI maarufu za usambazaji wa nishati na vilainishi, Engen na Vivo Energy zimetangaza kuungana kwa pamoja ilia kutengeneza ushirika mkubwa wa usambazaji wa bidhaa...
MSHUA TIGO PESA ATOA ZAWADI NA MAMILIONI YA PESA KWA MAWAKALA WAKE
Na Mwandishi Wetu
Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo Tanzania kupitia Huduma yake ya mfumo wa pesa Kidigitali Tigo Pesa...
TIGO PESA WAKABIDHI RASMI NDINGA LA KISHUA KWA SAMSON , NYUMBANI KWAO KAHAMA
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Bwn. Joseph Mutalemwa ( Kulia ) akimkabidhi rasmi Gari aina ya TOYOTA RUSH Mshindi wa Promosheni ya NDINGA...










