MAJALIWA: PEPFAR IMEPUNGUZA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU TANZANIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi kwa asilimia 58 kutoka 130,000 mwaka 2003 hadi 54,000...
SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU NAMMA YA KUPATA CHAKULA CHA MSAADA
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema maswala ya upungufu wa chakula...
WIZARA YA TAMADUNI, SANAA NA MICHEZO YAAHIDI KUJA NA MAMBO MATATU
Na Mercy MaimuWizara ya Tamaduni, Sanaa na michezo imeahidi kuja na mambo matatu makubwa ya kihistoria katika sekta hiyo Kwa mwaka 2023.
Akizungumza na waandishi...
MAJALIWA: SERIKALI ITAENDELEA KUSIMAMIA WELEDI KWA WATUMISHI WA UMMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia weledi, kanuni na taratibu...







