Friday, June 26, 2026
Home 2023 February 17

Daily Archives: February 17, 2023

TBS YAWATAKA WASAMBAZAJI WA MAZIWA MBADALA YA WATOTO KUHAKIKISHA WANASAJILIWA

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka ,Waagizaji na Wasambazaji wa Maziwa mbadala ya watoto wachanga na wadogo kuhakikisha bidhaa hizo zinasajiliwa kwa...

MPANGO WA SHULE BORA WAWEZESHA UANDIKISHAJI WATOTO 2,640 RUKWA

0
Na. Revocatus Kassimba, Rukwa Shule Bora ni programu ya elimu inayolenga kuinua ubora wa elimu jumuishi inayotolewa kwenye mazingira salama ya kujifunzia kwa wasichana na...

SERIKALI KUCHUKUA HATUA MADHUBUTI KUPUNGUZA GHARAMA ZA BEI ZA VYAKULA

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husein Ali Mwinyi amesema Serikali ya awamu ya nane itaendelea kuweka jitihada za kupunguza...

Brand ya bidhaa za Zanzibar (Made in Zanzibar) kuhuishwa upya Zanzibar – Soraga

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga amebainisha kuhuishwa upya kwa brand ya bidhaa za Zanzibar. Ameyasema...

KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA UMOJA WA ULAYA KUWAKUTANISHA ZAIDI YA WASHIRIKI...

0
Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya pamoja na Sekta Binafsi ya Tanzania imeandaa Kongamano la Biashara kati ya...

SERIKALI YATAKA ALIYEMLAWITI MWANAYE ACHUKULIWE HATUA

0
*Waziri Mkuu asema Serikali haitofumbia macho vitendo vya ukatili WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi...

MBUNGE BYABATO AWASAIDIA WAENDESHA PIKIPIKI KUPATA MIKOPO NAFUU

0
Na Theophilida Felician Kagera. Mbunge wa Jimbo la Bukoba mjini na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Stephen Byabato amefanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha waendesha pikipiki...

DC SHAKA AANZA NA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KILOSA

0
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili na kupitisha bajeti kwa...

KIDUNDA, TONY RASHID KUPANDA PAMBANO LA NGUMI IMENYOOKA

0
Na.Khadija Seif, MZAWA blog KAMPUNI ya Kemmon Sports Agency imesema mabondia nguli wa Tanzania Seleman Kidunda watapanda ulingoni Februari 24 mwaka huu katika pambano la...

Msipandishe Bei ya bidhaa wakati wa Mfungo wa Ramadhani na Kwaresma

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) amewaasa Wafanyabiashara kutokupandisha bei za bidhaa zote zinazotumika kwa wingi wakati wa Mfungo...