DKT. MPANGO: WATANZANIA TUMIENI FURSA HII KUJIFUNZA NA KUPATA UZOEFU.
Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya linalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 24 Februari, 2023 limefunguliwa rasmi...
RAIS SAMIA ABORESHA ZAIDI SEKTA YA MIFUGO
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeahidi kuboresha zaidi sekta ya mifugo kupitia njia mbalimbali.
Naibu Waziri wa...
BONDIA SELEMANI KIDUNDA AACHA SINTOFAHAMU KUTOKUFIKA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA PAMBANO LA KESHO
Na Magrethy Katengu
Bondia Selemani Kidunda ameacha sitofahamu kwa Mpinzani wake Raia wa (DRC)Patric Mukala baada ya kutojitokeza kupima uzito ikiwa ni maandalizi ya siku...
VIKUNDI VINNE KATA YA MIKOCHENI VYAPATIWA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 160
Na Magreth Mbinga
Vikundi vinne vya Kata ya Mikocheni Manispaa ya Kinondoni leo April 23 vimepata mkopo wa zaidi ya Milioni mia moja na sitini...







