ELIMU NA MAFUNZO KWA WAZEE NI MUHIMU SANA KISARAWE -DC NYANGASA
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe Fatma Almasi Nyangasa amezindua kituo cha jamii cha kujifunzia (Community Learning Center) Kata ya Mzenga kilichofadhiliwa na shirika...
Polisi kuanzisha klabu za kupinga ukatili mashuleni.
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi.
Jeshi la Polisi mkoani Arusha lipo katika mkakati wa kuanzisha klabu za kupinga ukatili na unyanyanyasajii wa kijinsia katika...
SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kushirikiana kikamilifu na Sekta Binafsi katika utoaji elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi ili kuzalisha...
SERIKALI IKO TAYARI KUWAPOKEA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UMOJA WA ULAYA
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya lilofanyika Februari...
TANZANIA IMEJIKITA ZAIDI KUTENGENEZA BIASHARA YA USHINDANI- DKT. MWINYI
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitatu yenye thamani ya Euro million 270 kati ya...








