RAIS DKT. MWINYI AMBADILISHIA MAJUKUMU CHARLES HILARY
Charles Hilary Msemaji Mkuu wa serikali Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Charles Hilary kuwa Msemaji Mkuu...
JESHI LA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAJIPANGA KUDHIBITI AJALI
Na Magreth Mbinga
Jeshi la Polisi kikosi Cha usalama barabarani kimehakikisha kinadhibiti ajali za barabarani zinazotokea hususa ni nyakati za usiku na kusababisha vifo vya...
VIONGOZI WAASWA KUTENGA MUDA WA KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZA WANANCHI
Na Mwandishi wetu
Mlezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma, na Mjumbe wa Halmashauri kuu Taifa Bi, Leila Ngozi ametoa rai kwa viongozi wa...
HOSPITALI MPYA ZA WILAYA 135 ZAJENGWA NA RAIS DKT. SAMIA NCHI NZIMA.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Wanging'ombe, Dkt. Festo J. Dugange amesema hospitali mpya za wilaya 135 zimejengwa...
MAJALIWA: TUTAENDELEA KUWATUMIKIA WATANZANIA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-CCM na wananchi kwa ujumla waendelee kuiamini Serikali...








