Friday, June 26, 2026
Home 2023 January

Monthly Archives: January 2023

SHAMRASHAMRA BURUDANI WIKI YA SANAA TUKUTANE DAR FEBRUAR 1-5

0
Na Magrethy Katengu Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Kwa kushirikiana na taasisi ya Nafasi Arts Space wamejipanga kuhakikisha kutoa burudani kwa Watanzania katika wiki...

KATAMBI: SERIKALI IMEANZA KUFANYIA KAZI MABORESHO YA MISHAHARA VYUO VIKUU

0
SERIKALI imeanza kufanyia kazi suala la maboresho ya mishahara kwenye vyuo vikuu kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Naibu...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAASKOFU KUKABILIANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania imejitolea kuzuia na kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji...

ASASI ZA KIRAIA ZAASWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUSHIRIKISHA JAMII KATIKA UIMARISHASHI WA HUDUMA BORA...

0
Na.Faustine Gimu,Elimu ya Afya kwa Umma,Wizara ya Afya ,Sengerema Mwanza.  Rai  imetolewa kwa Asasi za Kiraia  zinazotekeleza Miradi ya afya katika Mkoa wa Mwanza na...

CCM MAGU YAITIMISHA MAADHIMISHO YA MIAKA 46.

0
CCM Wilaya ya Magu mkoani Mwanza imeishukuru serikali ya awamu ya sita ya inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kutoa kiasi cha sh. bilioni...

SONGORO MARINE YAONDOA CHANGAMOTO YA USAFIRI GOZIBA

0
Wakazi wa Kisiwa cha Goziba kilichopo wilaya ya Muleba mkoani Kagera wameondokana na adha ya usafiri wa majini baada ya wadau wa usafirishaji kampuni...

WANAFUNZI WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA

0
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya Maendeleo ya...

WAFANYABIASHARA WAOMBA KUBORESHEWA MAZINGIRA YA KUFANYIA BIASHARA

0
Wafanyabiashara wa nyanya na mbogamboga katika soko la Mirongo jijini Mwanza wameiomba serikali kuwaboreshea eneo lao la biashara ili kuwanusuru kuungua na jua na...

MAENDELEO BANK YAPATA FAIDA ZAIDI YA MARA MBILI IKILINGANISHWA NA MWAKA 2021

0
Na Magrethy Katengu Benki ya Maendeleo Plc imepata faida ya shilingi Bilioni 1.3122 mwaka 2022 ukilinganisha na faida ya shilingi milioni 587 mwaka 2021 ambapo...

NAIBU WAZIRI MASANJA ALAANI VITENDO VYA UHARIBIFU WA MAZINGIRA KATIKA SHAMBA LA MITI BUHINDI

0
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amelaani vitendo vya uharibifu wa mazingira vinavyofanywa...