Friday, June 26, 2026
Home 2023 January 1

Daily Archives: January 1, 2023

MWAKA 2023 VIJANA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI

0
NA MAGRETHY KATENGU Ikiwa Leo Dunia inasherekea mwaka mpya 2023 Vijana wote nchini wameshauriwa kuanza mwaka kwa kishindo kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ikiwemo kuomba...

WANANCHI WAOMBWA KUENDELEA KULIOMBEA TAIFA

0
Na Mwandishi wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameomba wananchi kuendelea kuiombea nchi dhidi ya majanga...

WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI HUSUSANI KWA KUTENDA HAKI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango pamoja na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2023 wameungana...

MAJALIWA AWAKUMBUKA MAKATIBU CCM KATA RUANGWA

0
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Disemba 31, 2022...

RC KATAVI AWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA MAJIMOTO MAZINGIRA WEZESHI

0
Na:OMM- Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Hoza Mrindoko amewahakikishia Wafanyabiashara wa kuchakata Mazao katika eneo la Majimoto Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kuwa...

IBRAHIM MAFIA KUZICHAPA LEO NA JUMA FUNDI KUWANIA MKANDA TPBRC.

0
Na Boniface Gideon, TANGA BONDIA Ibrahim Mafia wa Jijini Tanga aliye chini ya usimamizi wa kampuni ya Mafia Boxing Promotion Leo anatarajiwa kupanda ulingoni kuwania...